chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,404
- 24,990
Kama kuna mtu ndugu yake alipanda bas la Arusha express la kutoka mbeya kenda Arusha limepata ajali hapa milima ya Nyangolo abiria wameumia wengine wamepoteza maisha. Wachache tumewapakia kwenye basi la Swahili na tunawapeleka hospitali iliyo jirani Migori.
Abiria tisa wenye hali mbaya sana tumewaacha Zahanati ya Migori.
Abiria tisa wenye hali mbaya sana tumewaacha Zahanati ya Migori.