Basi gani zuri luxury Arusha Dar

Pia kuna Ngorika, Buffalo hizo hata 15k tu uwakika ila roho mkononi ..kMa una haraka sana chukua za magazeti zile uwakika unafika hata saa mbili asubuhi.
 
..Kama unataka kuwahi panda kidia one..the climber...ni moto sana....
 
BM, kidia one, tilisho, dar exp(hapa waambie wakukatie ile mpya)
 
Mada imeisha hapa,mtoa mada fuata ushauri huu wengine watakuchanganya tu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Niliwahi kupanda hii bus mara ya kwanza kwenda arusha ilinikera sana,tulitumia karibia masaa 14 kufika
N kama Osaka ama Princes muro
Enz zao unaingia mosh saa moja
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Dar express Lina KUNGUNI NA CHAWA NA VIROBOTI HALAFAI KABISA .PANDA BM COACH HUTAJUTIA .SAI BABA PIA LINA CHAWA NA KUNGUNI NA VIROBOTI .USIPANDE MSAE NA SCANDINAVIA COACH HAO WANANYONJA BLOOD WHITE CELL MKUU
Kwani mabasi ya msae na scandinavia bado yapo mkuu??!!
 
pande meridian hautojutia mkuu πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…