Basi gani ni la kwanza kuingia Mwanza ?

Basi gani ni la kwanza kuingia Mwanza ?

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
556
Habari

Naomba kujuzwa ni basi gani huwa la kwanza kuingia Mwanza linapokua limetoka Dar saa 12 asubuhi.

Asante
 
Kwa wazoefu wa njia ya Mwanza - Dodoma - Mbeya, please naomba kuuliza;

1. How far/long is Dodoma to Iringa?

2. Mabasi huwa yanapita saa ngapi hapo Dodoma yakitokea Mwanza?

3. Kwa mtu anayetokea Kigoma by Bus anaweza kwenda kulala Iringa Mjini siku hiyo hiyo?
 
Kuna miaka Allys ilikuwa inasumbua sana hiyo njia, sijui kwa sasa kama hilo basi lipo bado...
 
Habari ya mujini wanaitwa tungis , wako vizuri dar lux akasome , ni kampuni mpya wako fasta sana

Naunga mkono comment hii...labda akija shabiby apo baadae ,ila kama unataka gari mpya ambayo ata week haina barabarani (happy nation)
 
Panda ABOUD BUS SERVICE - KING OF THE ROAD. Hana cha kuremba. Hataki kusikia Youtong, yeye ni SCANIA tu hata ikiwa na registration ya T.... AAB.
 
Back
Top Bottom