Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,967
Bus linakimbia hili huduma mbovu,nlikosa usafiri Jan Ar_dsm nkalipanda nlijuta.Panda KAPRICON saa 7 upo Arusha
😂😂😂😂Eti milele. Hatuishi milele mkuu.Mkuuu panda marangu coach hutojuta mileile.
Ni luxury ama semi luxury?Panda KAPRICON saa 7 upo Arusha
Hajui maisha ya binadamu yeyote yule muda wa kuishi duniani ni mfupi, hata uwe tajiri,masikini,mzuri,mbaya,mwema, maarufu n.k utayaacha yote watu wakitumbua na kugombania wakati unaumia kuyatafuta wao walikuona mpuuzi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti milele. Hatuishi milele mkuu.
Mabasi mbovu, huduma mbovu. Nina experience ya hayo mabasi njia ya Mwanza.Dar Lux baba lao
Sio guta kabisa mkuu?😂Panda hata boxer ukishindwa dandia San lg[emoji16][emoji16][emoji16]