otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 136
- 235
Ni basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Tuanze na weweNi basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Wewe si ndo tulitegemea uanze kutaja?Ni basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Kumbe ww mjitaJina nimesahau ila ni route ya Dar to Musoma, jamanii lile bus ni chakavu afu lina kungunii balaaa. Asee niliteseka hatariii sirudii tenaa.
Ilikua 2017


Sawa Mnazi wa Machungwa tumekusikiaKATARAMA sitapanda tena yale mabasi ya hovyo sana
Bora nisafiri na ALLY'S
Sipo huko mkuu nazungumzia hudumaSawa Mnazi wa Machungwa tumekusikia
Majinja alo!! Dereva mikononi na kwenye nguo kama fundi gereji ,anaendesha kidogo tu anapaki anaingia zake uvunguniTuanze na wewe