PostGE2025 Bashungwa, Mhagama watupwa nje!

PostGE2025 Bashungwa, Mhagama watupwa nje!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huu mchezo hauhitaji hasira.

Na Bashungwa na mbwembwe zake kuelekea Uchaguzi.

Ulitumika effectively brother. Yaani, ukatumika kufungia Kanisa la Gwajima, matumizi yako yamefika mwisho bro
Naibu PM takataka
 
Siasa na uongozi una busara moja, usijae sifa maana siasa ni fumbo.
 
Hawa wanaweza kuja kuludishwa mkabaki aibu focus na mambo yenu hao watemeni wamepatina kimagumashi
 
Huyo jamaa inabidi akamatwe sasa maana alileta mdomo wa tenge kwenye mambo ya kitaifa
 
Nachokiona ki aina mnakubali hii ni serikali harari
 
Back
Top Bottom