Bashite wa leo ndio Manji, Ruge na Seth wa kesho

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,633
Reaction score
164,754
Hao niliowataja walilindwa sana katika nyakazi zile kama ambavyo wewe leo hii unalindwa ila sasa ndio hao wamegeukwa na wamekuwa ni kama mbuzi wa kafara kwasababu kuna walioshirikiananao kufanikisha waliyoyafanya ila mpaka sasa wenzao hao hawajaguswa na wanaweza wasiguswe kabisa na hii ndio maana halisi ya kafara.

Kama ambavyo mabwana hawa ambao waliokuwa untouchable enzi zile lakini leo hii wanashughulikiwa, vivyo hivyo wewe ulie untouchable leo hii,kesho nawe utashughulikiwa kama mabwana hawa.

Kama ambavyo Mkulu wa enzi zile leo hii anaangalia kupitia luninga yake jinsi watu wake wanavyoshughulikiwa, vivyo hivyo Mkulu wa leo nae kesho atakuwa anaangalia kwenye luninga jinsi wewe unavyoshughulkiwa na hata akiulizwa nini maoni yake juu ya wewe kushughulikiwa, atatoa pongezi kwa Mkulu wa wakati huo na ataongeza watu wamuache afanye kazi na yeye atasema sasa aachwe apumzike.

Tambua inawezkana wako wengi sana leo hii hawakupendi kutokana na matendo yako ila kwa sasa hawawezi kuonyesha chuki yao wazi wazi kwa hofu ya kumuudhi mtu fulani na kupoteza vibarua vyao hivyo wanacheka na wewe juu juu tu ila miyoni mwao hawakupendi kabisaaa.

Nimemaliza but time will tell.
 
Hao niliowataja walilindwa sana katika nyakazi zile kama ambavyo wewe leo hii unalibdwa ila kwa sasa wamegeukwa na wamekuwa ni kama mbuzi wa kafara kwasababu kuna walioshirikiananao kufanikisha waliyoyafanya ila mpaka sasa wenzao hawajaguswa na wanaweza wasiguswe kabis na hii ndio maana halisi ya kafara.

Kama ambavyo mabwana hawa ambao waliokuwa untouchable enzi zile lakini leo hii wanashughulikiwa, vivyo hivyo wewe ulie untouchable leo hii,kesho nawe utashughulikiwa kama mabwana hawa.

Kama ambavyo Mkulu wa enzi zile leo hii anaangalia kupitia luninga yake jinsi watu wake wanavyoshughulikiwa, vivyo hivyo Mkulu wa leo nae kesho atakuwa anaangalia kwenye luninga jinsi wewe unavyoshughulkiwa na hata akiulizwa nini maoni yake juu ya wewe kushughulikiwa atatoa pongezi kwa Mkulu wa wakati huo na ataongeza watu wamuache afanye kazi.

Time will tell.
umeona mbali sanaaa...ni swala la muda tuu..
 
Hao niliowataja walilindwa sana katika nyakazi zile kama ambavyo wewe leo hii unalindwa ila sasa wamegeukwa na wamekuwa ni kama mbuzi wa kafara kwasababu kuna walioshirikiananao kufanikisha waliyoyafanya ila mpaka sasa wenzao hao hawajaguswa na wanaweza wasiguswe kabisa na hii ndio maana halisi ya kafara.

Kama ambavyo mabwana hawa ambao waliokuwa untouchable enzi zile lakini leo hii wanashughulikiwa, vivyo hivyo wewe ulie untouchable leo hii,kesho nawe utashughulikiwa kama mabwana hawa.

Kama ambavyo Mkulu wa enzi zile leo hii anaangalia kupitia luninga yake jinsi watu wake wanavyoshughulikiwa, vivyo hivyo Mkulu wa leo nae kesho atakuwa anaangalia kwenye luninga jinsi wewe unavyoshughulkiwa na hata akiulizwa nini maoni yake juu ya wewe kushughulikiwa atatoa pongezi kwa Mkulu wa wakati huo na ataongeza watu wamuache afanye kazi.

Tambua inawezkana wako wengi sana hawakupendi kutokana na matendo yako ila kwa sasa hawawezi kuonyesha chuki yao kwa hofu ya kumuudhi mtu fulani na kupoteza vibarua vyao hivyo wanacheka na wewe juu juu tu ila miyoni mwao hawakupendi kabisaaa.

Time will tell.
Mkuu umetazama kwa jicho la mbali sana. Ulevi wa madaraka, visasi, ubabe na upambe hauna mwisho mwema.
Jambo zuri ni kwamba tunajenga nchi ya visasi, tutayaona na kusikia mengi
 
Mkuu umetazama kwa jicho la mbali sana. Ulevi wa madaraka na upambe hauna mwisho mwema.
Jambo zuri ni kwamba tunajenga nchi ya visasi, tutayaona na kusikia mengi
Kwenye visasi ni kweli kabisa.... yaani mimi ninavyoona watu wa upinzani wanavyoonewa hakika ni chuki kubwa sana inajengwa... na nivijana tu ndo wanayafanya haya ili kumfurahisha mkuu wetu.... kweli kabisa tumefikia huku?? Mkuu wa wilaya tu anaamua amsweke mtu ndani na inakuwa!!!! Daah Mokozi tuepushe na hili balaaa
 
Kwenye visasi ni kweli kabisa.... yaani mimi ninavyoona watu wa upinzani wanavyoonewa hakika ni chuki kubwa sana inajengwa... na nivijana tu ndo wanayafanya haya ili kumfurahisha mkuu wetu.... kweli kabisa tumefikia huku?? Mkuu wa wilaya tu anaamua amsweke mtu ndani na inakuwa!!!! Daah Mwokozi tuepushe na hili balaaa
Walipomaanisha Nchi inahitaji maombi unadhani hawakumaanisha mkuu? Tunahitaji maombi kuliko wakati wowote maana wako wanaodhani wataishi milele ama wao ndio miungu watu ambao hawatagusika!
 
Kwenye visasi ni kweli kabisa.... yaani mimi ninavyoona watu wa upinzani wanavyoonewa hakika ni chuki kubwa sana inajengwa... na nivijana tu ndo wanayafanya haya ili kumfurahisha mkuu wetu.... kweli kabisa tumefikia huku?? Mkuu wa wilaya tu anaamua amsweke mtu ndani na inakuwa!!!! Daah Mokozi tuepushe na hili balaaa
Hawa watu ipo siku watajuta.Tuombe uzima tu.
 
Hao niliowataja walilindwa sana katika nyakazi zile kama ambavyo wewe leo hii unalindwa ila sasa ndio hao wamegeukwa na wamekuwa ni kama mbuzi wa kafara kwasababu kuna walioshirikiananao kufanikisha waliyoyafanya ila mpaka sasa wenzao hao hawajaguswa na wanaweza wasiguswe kabisa na hii ndio maana halisi ya kafara.

Kama ambavyo mabwana hawa ambao waliokuwa untouchable enzi zile lakini leo hii wanashughulikiwa, vivyo hivyo wewe ulie untouchable leo hii,kesho nawe utashughulikiwa kama mabwana hawa.

Kama ambavyo Mkulu wa enzi zile leo hii anaangalia kupitia luninga yake jinsi watu wake wanavyoshughulikiwa, vivyo hivyo Mkulu wa leo nae kesho atakuwa anaangalia kwenye luninga jinsi wewe unavyoshughulkiwa na hata akiulizwa nini maoni yake juu ya wewe kushughulikiwa, atatoa pongezi kwa Mkulu wa wakati huo na ataongeza watu wamuache afanye kazi na yeye atasema sasa aachwe apumzike.

Tambua inawezkana wako wengi sana leo hii hawakupendi kutokana na matendo yako ila kwa sasa hawawezi kuonyesha chuki yao wazi wazi kwa hofu ya kumuudhi mtu fulani na kupoteza vibarua vyao hivyo wanacheka na wewe juu juu tu ila miyoni mwao hawakupendi kabisaaa.

Nimemaliza but time will tell.

Nimekuelewa japo nipo upande wa pili maana ndugu yetu naye alishiriki mambo mengi sana kwenye awamu ile ya mzee Wa Bagamoyo.
 
ivi unazungumzia nini..sijakuelewa,hebu weja mada yako vizur iko Up&down Mzee.
 
Back
Top Bottom