Bashite wa leo ndio Manji, Ruge na Seth wa kesho

Hao niliowataja walilindwa sana katika nyakazi zile kama ambavyo wewe leo hii unalindwa ila sasa ndio hao wamegeukwa na wamekuwa ni kama mbuzi wa kafara kwasababu kuna walioshirikiananao kufanikisha waliyoyafanya ila mpaka sasa wenzao hao hawajaguswa na wanaweza wasiguswe kabisa na hii ndio maana halisi ya kafara.

Kama ambavyo mabwana hawa ambao waliokuwa untouchable enzi zile lakini leo hii wanashughulikiwa, vivyo hivyo wewe ulie untouchable leo hii,kesho nawe utashughulikiwa kama mabwana hawa.

Kama ambavyo Mkulu wa enzi zile leo hii anaangalia kupitia luninga yake jinsi watu wake wanavyoshughulikiwa, vivyo hivyo Mkulu wa leo nae kesho atakuwa anaangalia kwenye luninga jinsi wewe unavyoshughulkiwa na hata akiulizwa nini maoni yake juu ya wewe kushughulikiwa, atatoa pongezi kwa Mkulu wa wakati huo na ataongeza watu wamuache afanye kazi na yeye atasema sasa aachwe apumzike.

Tambua inawezkana wako wengi sana leo hii hawakupendi kutokana na matendo yako ila kwa sasa hawawezi kuonyesha chuki yao wazi wazi kwa hofu ya kumuudhi mtu fulani na kupoteza vibarua vyao hivyo wanacheka na wewe juu juu tu ila miyoni mwao hawakupendi kabisaaa.

Nimemaliza but time will tell.
Sasa unachotaka nini? Sheria isifuatwe?
 
Unahangaika mno. Pole. Walilindwa na Serikali?
 
Wanaposhughulikiwa hawa wa sasa ambao zamani walikuwa wanakula maisha, mleta mada unaumia moyoni.

Unatamani siku zifike haraka ili uwe mmojawao watakaolishuhudia anguko la Makonda!!. Duh hii ni hatari, je kama Muumba hajampangia hilo anguko unaloliota, hayo maono yako ya leo hii yatakuwa na faida gani ikifika hiyo siku unayoiota??.

Punguza kinyongo na roho mbaya, wekeza kwenye fikra chanya za kimaisha.
 
wewe ndie mwenye roho mbaya.
 
wewe ndie mwenye roho mbaya.
Mkuu Salary Slip leo ni July 2017 unaanza kuongelea mambo ya 2026 na kuendelea, haujioni kana kwamba una kinyongo fulani??.

Vipi kama mkuu wa mkoa akaondolewa kesho kwenye nafasi yake na mpaka kufika 2026 akawa mtu tu wa kawaida?.
 
Kuna watu wakisoma uzi kama huu, pressure zinapanda na kushuka na wanatamani jamaa atawale kweli kwa ''miaka 100'' ili waendelee kubakia salama. Yaani kwa jinsi bwana mkubwa na wateule wake aliopendezwa nao (Zero brain, Hapi, Gambo...) wanavyobehave, kuna mtu atakuwa ameanza kucompile list yake ya wale watakaokimbilia Rwanda siku akiingia Ikulu.
 
Back
Top Bottom