Bashite kwenye ubora wake

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
9,109
16,681
mwandishi: hebu tueleze mh RC ilikuwaje ukavamia Clouds Media
DAB: tumesikiliza kero za wananchi na tumekubaliana kupunguza bei ya maji kuanzia sasa unit moja itakuwa 1k tofauti na bei ya zamani 5k

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
Huu ni ubora au kuonyesha kiwango cha chini kabisa cha uelewa?
Hapo nibora hata angesema naomba nisijibu hilo swali nijikite kwenye maswali yanayohusiana na maendeleo.
 
Huu ni ubora au kuonyesha kiwango cha chini kabisa cha uelewa?
Hapo nibora hata angesema naomba nisijibu hilo swali nijikite kwenye maswali yanayohusiana na maendeleo.
hahahaaa Bashite ni Bashite tu
 
Back
Top Bottom