Bashiru Kakurwa, Katibu mstaafu CCM nini kinamsumbua?

Ukimuangalia kwa udadisi hivi karibuni, anaonekana ni mtu mwenye mawazo mazito. Ni mtu ambaye anaonekana kukosa kujiamini na hata kukosa nuru kwenye uso wake.

1.
Je haamini kinachoendelea ndani ya CCM kwa sasa?

2.
Ana msongo wa mawazo kuona namna team waliyoiweka na marehemu inavyopanguliwa kwa kasi kubwa?

3.
Anahofia kushughulikiwa na team Msoga ambayo kwa sasa wameshikilia nafasi nyeti za maamuzi?

4.
Haamini kama Humphrey kadata au ni mzima kiakili?

5.
Haamini kasi ya 6G ya chief Hangaya inavyoifungua nchi?

Angalia hii picha kwa makini, unagundua nini?View attachment 2113560
Members of ccm establishment wamechukua nchi tayari,Na yeye alikuwa outsider,wale hardcore insiders lazima watamshughurukia ipasavyo muda ukifika,hako ka ubunge,amepewa tu kumsitiri
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Eti kwa Mipango ya Magufuli kama yeye angemaliza kipindi chake cha kuwa Rais basi alikuwa amemuandaa huyu raia wa Burundi Bashiru Ally Kakurwa kuwa Rais wa Tanzania. Ndiyo kisa alikuwa anamjazia mavyeo tu; mara Mhakiki mali za CCM, then Karibu Mkuu wa CCM. Halafu Balozi na mwishowe Katibu Mkuu Kiongozi.

Ila Mungu ana Mipango tofauti na binadamu akawaonyesha UKUU wake kwa kasiya 5G
Sawa tumekubali kifo cha Magufuli ni ukuu wa Mungu kwasababu Mungu alisema siku za kuishi mwanadamu ni chache vilevile alisema aliezaliwa na mwanamke atakufa, sasa tuambie kifo chako wewe au ndungu zako ni ukuu wa shetani?.
 
Mimi nakumbuka Rais Kikwete alipostaafu kuna watu wengi sana walisikitika sana kwani ilikuwa kuondoa kitumbua kinywani, hili lilipita watu wajirekebisha na mwisho wa siku maisha yakaendelea. Sawia kwa Rais Magufuli kuna watu walifaidi utawala ule na kuondoka kwake kumewaadhiri sana na Bashiru kuwa miongoni mwao. Kutoka Katibu Kiongozi hadi kuwa back bencher sio kitu rahisi. Lakini Dunia ya Mungu huwa hivyo kila ufalme na kitabu chake kwa bahati mbaya haupo ni kukubaliana na hali halisi. Kwetu sisi wananchi tunachokitaka ni nchi iendeshwe vizuri kwa haki, tupate maendeleo bila upendeleo na nchi isonge mbele. Nani anakaa ikulu sii hoja kwetu sisi wa chini ila wao ni shida.
 
Members of ccm establishment wamechukua nchi tayari,Na yeye alikuwa outsider,wale hardcore insiders lazima watamshughurukia ipasavyo muda ukifika,hako ka ubunge,amepewa tu kumsitiri
Inafikirisha
 
huwajui CCM wewe, huwa wana namna yao yakufanya mambo yao, huwa wanajuana wenyewe...keep cool and watch...

kuwa CCM sio mpaka uzaliwe CCM, kosa ilikuwa kumuingiza sebuleni na chumbani mtu ambaye hana background na itikadi zao za CCM....makosa haya huyafanya upinzani kwa kumuingiza chumbani na sebuleni yeyote yule..
 
Sawa tumekubali kifo cha Magufuli ni ukuu wa Mungu kwasababu Mungu alisema siku za kuishi mwanadamu ni chache vilevile alisema aliezaliwa na mwanamke atakufa, sasa tuambie kifo chako wewe au ndungu zako ni ukuu wa shetani?.
Wacha kutumia Biblia vibaya kumtetea Magufuli ambaye alikuwa anaua watu na kuwatupa baharini wakiwa kwenye viroba?

Ameua akina Ben Saanane, Azory Gwanda na kuamrisha Tundu Lissu auawe na kikundi cha Makonda cha WASIOJULIKANA.

Eti unanukuu mstari wa Ayubu 14:1-2 unadhani ndiyo excuse ya kuua watu hOvyo?

Hasira ya Mungu ilimteremkia Magufuli kwa kukengeuka kama ilivyomteremkia Nebuchadnezzar mfalme wa Babylon
 
Yaani we jamaa hopeless kabisa, we unadhani utendaji wa Mungu ni wa visasi sio kama ulivyo wa binadamu.

Kama unaamini katika Mungu basi tambua Magufuli alikuwa rais by God will na kama alikufa basi alikufa by God will kwasababu wakati anampa urais alijua hata kabla hajazaliwa kwamba Magufuli atakuwa rais na atakufa kama wanadamu wengi na wala urais wake sio kinga ya yeye kutokufa kama wanadamu wengine.

Hesabu 23:19-20

Mungu si mtu, aseme uongo, wala si binadamu, abadili nia yake! Je, ataahidi kitu na asikifanye, au kusema kitu asikitimize? Tazama, nimepewa amri ya kubariki, naye amebariki wala siwezi kuitangua.

Ukisoma hiyo verse utajua Mungu hawezi sema uongo hadi alichopanga kukifanya kitimie as kwa Marehemu Magufuli akampatia urais (mamlaka ya duniani) kupitia sisi wananchi kisha yeye alimpatia akamuondoa hapa utaona alimuondoa kwasababu alisema yeyote alie zaliwa na mwanamke lazima afe na hili Mungu alijua hatakama Magufuli akiwa rais lazima atakufa tu hivyo Mungu hakutengua nia yake ili eti kumuadhibu Rais Magufuli.
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Eti kwa Mipango ya Magufuli kama yeye angemaliza kipindi chake cha kuwa Rais basi alikuwa amemuandaa huyu raia wa Burundi Bashiru Ally Kakurwa kuwa Rais wa Tanzania. Ndiyo kisa alikuwa anamjazia mavyeo tu; mara Mhakiki mali za CCM, then Karibu Mkuu wa CCM. Halafu Balozi na mwishowe Katibu Mkuu Kiongozi.

Ila Mungu ana Mipango tofauti na binadamu akawaonyesha UKUU wake kwa kasiya 5G
Mambo ya hovyo kabisa
 
Kuna kitu naamini kitatokea..Bashiru hatakaa kupotea kwa sababu ya hawa jamaa. Time will tell. He has shown maturity by remaining silent.
Baadhi ya hawa walinyangwanywa mali za CCM. Kumbuka CCM ilifanya uhakiki wa mali zake. Wanamchukia kweli kweli. Lakini hilo sio kosa lake. Hajafanya kosa lolote
 
Mfuate Chato
 
Alikuwa mtu mbaya sn
 
Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Eti kwa Mipango ya Magufuli kama yeye angemaliza kipindi chake cha kuwa Rais basi alikuwa amemuandaa huyu raia wa Burundi Bashiru Ally Kakurwa kuwa Rais wa Tanzania. Ndiyo kisa alikuwa anamjazia mavyeo tu; mara Mhakiki mali za CCM, then Karibu Mkuu wa CCM. Halafu Balozi na mwishowe Katibu Mkuu Kiongozi.

Ila Mungu ana Mipango tofauti na binadamu akawaonyesha UKUU wake kwa kasiya 5G
Ulitaka rais awe baba yako? Kwani Kakurwa ana tatizo gani? Alafu rais haandaliwi na rais aliyepo madarakani, bali huchaguliwa na wananchi baada ya kupendekezwa na chama husika. Muwe mnasoma hata kidogo.
 
He
Ukimuangalia kwa udadisi hivi karibuni, anaonekana ni mtu mwenye mawazo mazito. Ni mtu ambaye anaonekana kukosa kujiamini na hata kukosa nuru kwenye uso wake.

1.
Je haamini kinachoendelea ndani ya CCM kwa sasa?

2.
Ana msongo wa mawazo kuona namna team waliyoiweka na marehemu inavyopanguliwa kwa kasi kubwa?

3.
Anahofia kushughulikiwa na team Msoga ambayo kwa sasa wameshikilia nafasi nyeti za maamuzi?

4.
Haamini kama Humphrey kadata au ni mzima kiakili?

5.
Haamini kasi ya 6G ya chief Hangaya inavyoifungua nchi?

Angalia hii picha kwa makini, unagundua nini?View attachment 2113560
He is Guilty in his Heart for the Wrongs they did.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom