Bashiru Ally apewe ulinzi mkali dhidi ya Mabeberu

Baada ya kauli ya kizalendo yenye Nia njema iliyotolewa na mwanazuoni Kijana mzalendo ambae taifa hili limetumia pesa nyingi kumsomesha Bashiru Ally Kuna magenge mbali mbali ya wahuni kama alivyo tuambia kijana wetu mpendwa Balozi Polepole yameanza kuweweseka.

Mabeberu haya yanayo ikalia nchi kinyume na KATIBA na kikatili yakiuwa watu na kuwafungulia kesi za urongo wapinzani yamekereka sana kuona Bashiru anawapa elimu watu waliodanganywa kuwa wao ni wanyonge.

Kijana wetu Bashiru tulie msomesha wenyewe kwa Kodi zetu ametwambia tuache Uzuzu wa kushukuru serikali kwanza serikali yenyewe haipo kisheria ni batili iliyo kwapua kura ktk mabegi halafu inajiita ni serikali ya watu. Pili serikali ikitoa huduma ni wajibu wake kwa kuwa pesa ni zetu wananchi tunao lipa Kodi na kuwalipa mishahara viongozi wanao tembelea magari ya kifahari huku sisi tukiokolewa na mitumbwi ktk ajali za ndege.

Huwezi kumkosoa Bashiru Ally kwa kuwa tuu anaongea ukweli ila hata yeye awali alishiriki ubatili huo ni Uzuzu. Ukiwa na Akili timamu Unapaswa kwanza kumpongeza Bashiru kwa kauli thabiti halafu ndo umwambie kuwa ulichelewa kuyaamini haya maneno yako ila. Hakuna mwenye hati miliki ya kuongea ukweli.

Bashiru shikilia hapo hapo hiyo michawa miiamba mapambio inayotegemea kula bila kufanya kazi halali iache iendelee kupiga kelele Nyerere aliwaita ni wanasiasa Malaya mayalaya.
Maendeleo hayana Vyamaa.

Hawakuungwa mkono wazi wazi kina Ndugai. Hakuungwa mkono Pole pole. Hakuungwa mkono waziwazi Mwingira. Hajaungwa mkono waziwazi Bashiru.

Tuko kama tumelogwa.
 
Ulinzi wa nini? auwawe kaua watanzania wengi kwa tamaa zake hafai
Ndugu Benjamin, una poor reasoning.

Nakushauri Rudi shule uongeze maarifa.

Suala la BASHIRU Lina sura mbili,

1. Ni Bashiru mnafiki, aliyebaka DEMOKRASIA Kwa kushirikiana na Magu kuitekeleza Ujamaa uchwara.

2. Sura ya pili, ni Bashiru aliye upande wa wananchi Kwa HOJA aliyoitoa kuwahamasisha Wanachama ndani ya chama Chao na wakulima kuendeleza utamaduni alouasisi Mwl Nyerere ya Kuhoji.

Kwa majibu Yako ndugu benja, umeamua kuwa upande wa Musukuma, na Kibajaji, na kutokuwa upande alosimamia Mzee WARIOBA na Mzee Butiku.

Nimemsikia Lema, Lisu na Heche, wote wametoa maoni kwa kuangalia pande mbili.

Wote wamekemea TABIA ya wananchi na Wanachama kuwa na UCHAWA ambao umeota mizizi ktk Nchi.

Kwa maana ingine, Bashiru tunamwacha na ULEVI wake Kwa upande mmoja, lakini tunachukua HOJA yake Kwa upande mwingine Kwa maslah mapana ya nchi.

Kama hujanielewa Kwa ufafanuzi huo, hutakuja kuelewa KAMWE.
 
Bashiru hata kama wasipompa ulinzi tutamlinda sisi wananchi wazalendo.wananch wengi wamemkubali mzalendo bashiru.wakijifanya hao ccm kumsumbua rais ajae bashiru wananchi tutachukua hatua
 
Ndugu Benjamin, una poor reasoning.

Nakushauri Rudi shule uongeze maarifa.

Suala la BASHIRU Lina sura mbili,

1. Ni Bashiru mnafiki, aliyebaka DEMOKRASIA Kwa kushirikiana na Magu kuitekeleza Ujamaa uchwara.

2. Sura ya pili, ni Bashiru aliye upande wa wananchi Kwa HOJA aliyoitoa kuwahamasisha Wanachama ndani ya chama Chao na wakulima kuendeleza utamaduni alouasisi Mwl Nyerere ya Kuhoji.

Kwa majibu Yako ndugu benja, umeamua kuwa upande wa Musukuma, na Kibajaji, na kutokuwa upande alosimamia Mzee WARIOBA na Mzee Butiku.

Nimemsikia Lema, Lisu na Heche, wote wametoa maoni kwa kuangalia pande mbili.

Wote wamekemea TABIA ya wananchi na Wanachama kuwa na UCHAWA ambao umeota mizizi ktk Nchi.

Kwa maana ingine, Bashiru tunamwacha na ULEVI wake Kwa upande mmoja, lakini tunachukua HOJA yake Kwa upande mwingine Kwa maslah mapana ya nchi.

Kama hujanielewa Kwa ufafanuzi huo, hutakuja kuelewa KAMWE.
Ule mzee ni mnafiki na muuaji tupu anatakiwa afe hana nia nzuri na wananchi
 
Baada ya kauli ya kizalendo yenye Nia njema iliyotolewa na mwanazuoni Kijana mzalendo ambae taifa hili limetumia pesa nyingi kumsomesha Bashiru Ally Kuna magenge mbali mbali ya wahuni kama alivyo tuambia kijana wetu mpendwa Balozi Polepole yameanza kuweweseka.

Mabeberu haya yanayo ikalia nchi kinyume na KATIBA na kikatili yakiuwa watu na kuwafungulia kesi za urongo wapinzani yamekereka sana kuona Bashiru anawapa elimu watu waliodanganywa kuwa wao ni wanyonge.

Kijana wetu Bashiru tulie msomesha wenyewe kwa Kodi zetu ametwambia tuache Uzuzu wa kushukuru serikali kwanza serikali yenyewe haipo kisheria ni batili iliyo kwapua kura ktk mabegi halafu inajiita ni serikali ya watu. Pili serikali ikitoa huduma ni wajibu wake kwa kuwa pesa ni zetu wananchi tunao lipa Kodi na kuwalipa mishahara viongozi wanao tembelea magari ya kifahari huku sisi tukiokolewa na mitumbwi ktk ajali za ndege.

Huwezi kumkosoa Bashiru Ally kwa kuwa tuu anaongea ukweli ila hata yeye awali alishiriki ubatili huo ni Uzuzu. Ukiwa na Akili timamu Unapaswa kwanza kumpongeza Bashiru kwa kauli thabiti halafu ndo umwambie kuwa ulichelewa kuyaamini haya maneno yako ila. Hakuna mwenye hati miliki ya kuongea ukweli.

Bashiru shikilia hapo hapo hiyo michawa miiamba mapambio inayotegemea kula bila kufanya kazi halali iache iendelee kupiga kelele Nyerere aliwaita ni wanasiasa Malaya mayalaya.
Maendeleo hayana Vyamaa.
tatizo lako umezidisha ushabiki mpaka tunakuona zuzu tu
 
Apewe na Nani? Kwa Nini usiende kumlinda wewe?
 
Atumie dola kubakia alipo baada ya kuwashiwa taa nyekundu
 
Baada ya kauli ya kizalendo yenye Nia njema iliyotolewa na mwanazuoni Kijana mzalendo ambae taifa hili limetumia pesa nyingi kumsomesha Bashiru Ally Kuna magenge mbali mbali ya wahuni kama alivyo tuambia kijana wetu mpendwa Balozi Polepole yameanza kuweweseka.

Mabeberu haya yanayo ikalia nchi kinyume na KATIBA na kikatili yakiuwa watu na kuwafungulia kesi za urongo wapinzani yamekereka sana kuona Bashiru anawapa elimu watu waliodanganywa kuwa wao ni wanyonge.

Kijana wetu Bashiru tulie msomesha wenyewe kwa Kodi zetu ametwambia tuache Uzuzu wa kushukuru serikali kwanza serikali yenyewe haipo kisheria ni batili iliyo kwapua kura ktk mabegi halafu inajiita ni serikali ya watu.

Pili serikali ikitoa huduma ni wajibu wake kwa kuwa pesa ni zetu wananchi tunao lipa Kodi na kuwalipa mishahara viongozi wanao tembelea magari ya kifahari huku sisi tukiokolewa na mitumbwi ktk ajali za ndege.

Huwezi kumkosoa Bashiru Ally kwa kuwa tuu anaongea ukweli ila hata yeye awali alishiriki ubatili huo ni Uzuzu. Ukiwa na Akili timamu Unapaswa kwanza kumpongeza Bashiru kwa kauli thabiti halafu ndo umwambie kuwa ulichelewa kuyaamini haya maneno yako ila. Hakuna mwenye hati miliki ya kuongea ukweli.

Bashiru shikilia hapo hapo hiyo michawa miiamba mapambio inayotegemea kula bila kufanya kazi halali iache iendelee kupiga kelele Nyerere aliwaita ni wanasiasa Malaya mayalaya.
Maendeleo hayana Vyamaa.
Bashiru ameokoka lini?
 
Bashiru amerusha jiwe kwenye mzinga wa nyuki na sasa nyuki wa mama wanarusha mishale hovyo-hovyo.
Uaneni.
 
tatizo lako umezidisha ushabiki mpaka tunakuona zuzu tu
Mbona mim nimeongea vizuri tuu jamani kosa langu ni lipi? Ni Kosa langu ni kunukuu maneno ya Polepole kuwa CCM ni genge la wahuni kama wew wanao penda siasa za umalaya Malaya au ni kunukuu kauli thabiti ya Dr. Wa ukweli Bashiru Ally kuwa CCM wache kuwafanya watu kuwa mazuzu?
 
Bashiru asali imepungua analilia asali yake. Sisiemu ni lichama la walafi hakuna mwenye nia safi na watanzania. Wanatucheza shere kama watoto wadogo kwa danganya toto huku wao wakivuna vya kuvuna. Hawana na hawajawahi kuwa na dhati ya kuleta mageuzi nchini. Miaka kadari matatizo yaleyale awamu zote.
 
Back
Top Bottom