Bashiru Ally apewe ulinzi mkali dhidi ya Mabeberu

Bashiru Ally apewe ulinzi mkali dhidi ya Mabeberu

Bashiru asali imepungua analilia asali yake. Sisiemu ni lichama la walafi hakuna mwenye nia safi na watanzania. Wanatucheza shere kama watoto wadogo kwa danganya toto huku wao wakivuna vya kuvuna. Hawana na hawajawahi kuwa na dhati ya kuleta mageuzi nchini. Miaka kadari matatizo yaleyale awamu zote.
Huyu wampe uwaziri miezi 3,kisha wapige chini jumla,, unafiki wake utaonekana wazi wazi
 
Back
Top Bottom