Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,737
Mhadhiri fulani wa UDSM.Bashiru Ali ni nani?
Bashiru Ali kawa ccm siku hizi kweli umaskini unaua weledi na imaniHivi bashiru ni mwanaccm!
Huwa niksikiliza DW nahisi mtu flani yupo kati kati
Hivi bashiru ni mwanaccm!
Huwa niksikiliza DW nahisi mtu flani yupo kati kati
JAMII YA POLEPOLE NGOJA AINGIE KABISAHivi bashiru ni mwanaccm!
Huwa niksikiliza DW nahisi mtu flani yupo kati kati
Njaa kama ya Mwesiga Baregu?B
Bashiru Ali kawa ccm siku hizi kweli umaskini unaua weledi na imani
Ha ha ha!Katibu mkuu wa CCM ni William John Cigwiyemisi Samuel Malecela
Ni Mhadhiri mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,idara ya Sayansi ya Siasa.Na pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla.Bashiru Ali ni nani?
Sijaona JPM akiisafisha serikali ingawa CAG amemuonesha uchafu.Akitaka aanze na aliyenunua EMVI DSM.Mtu asiye mwana CCM hawezi kuaminiwa kuchunguza mambo ya mali za CCM. Hiyo asignment ni mbaya sana. Unaona hata Mwenyekiti alipokabidhiwa ripoti ndani alisema kwa kuweweseka kuwa hawatafukua makaburi bali wataziba miaya lakini hapo hapo akaagiza watuhumiwa walio chini ya Katibu Mkuu na wakuu wa maidara wawashughulikie mara moja bila kusubiri vikao!
Ajabu alipotoka nje ndipo akasema lazima asafishe chama kama anavyosafisha serikalini. Hakuna aliyewahi kufunua uchi wa mamake akabaki salama. Watashughulikiwa dagaa tu.
Alishatunukiwa PhD japo aliisotea sana,alikuwa Tutorial Assistant wa Prof Mukandalahivi Bashiru ni PhD holder au? maana kuna wanahabari wakifanya mahojiano nae wanamtambulisha kama dokta Bashiru wengine hawamuiti dokta