Mkuu serious?
mimi nauhakika hivi vifurushi huwa hawatupi vyote kama wanavyoandika ktk menu zao, niliwahi kujiunga na kifurushi cha Voda internet cha GB 1 niliingia jf kama dk 15,fb kama dk 10,huko YouTube niliingia kucheki video ya dk 4 tu,hapohapo nikaambiwa nimebakiwa na mb 12