kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Msimshutumu sana bashe wakati anamwaga ukweli,mgodi wa resolute unafungwa unaondoka na mabilioni na kutuachia shimo nusu ya ngorongoro,sasa tanzania yetu tunataka domo bomu wala sio fataki.
Itakuwa ni mara ya kwanza bashe kupigania maslahi ya taifa kama si tumbo lake una hakika kabsaa anakupigania wewe!Hata mbunge wa CCM atakayelalamika juu ya utekelezaji mbovu wa bajeti ya maendeleo (34% ) bado mtaendelea kumuona hafai na mchochezi. Hivi nyinyi maCCM mpo kwa ajili ya maslahi ya Taifa (watanzania wote) ama ni kwa maslahi ya chama chenu? Bashe anawasemea watanzania wote, then unakuja hapa na kutuaminisha kwamba anafanya vile kwa maslahi yake binafsi, au unafikiri sisi watanzania hatuoni hicho akifanyacho Bashe. Go, Go, Hussein Mohamed Bashe, watanzania tuko nyuma yako.
Msubirini baada ya muda mtamjua bashe ana rangi gani!Unatakiwa kuwaishwa milembe kabla mambo hayajaharibika zaidi kwa haya uliyoyaandika kuna nati imeregea kwenye ubongo wako ikakazwe.
Una hakika bashe yupo kwa maslahi yako!Watu kama nyinyi ni tatizo kwa taifa..unashabikia mtu kutetea chama badar ya nchi