britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,177
- 41,623
Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA.
Britanicca
Britanicca