gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Alipaswa kuomba radhi kwa kauli ile na siyo ku justify makosa yake sababu wengine walisema
Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe amekiri kusema kwa wafuasi wa CCM wawashambulia CHADEMA kweny mkutano wa kameni za Udiwani Mbweni mwezi Septemba mwaka jana.
Bashe amesema sababu ya kusema hivyo ni kuwa walikuwa wakielekea kwenye kampeni na kushambuliwa na wafuasi wa CHADEMA lakini polisi hawakuchukua hatua yoyote, na hivyo kuwaasa wana CCM wajilinde wenyewe watakaposhambuliwa na CHADEMA
Bashe amesema pia Freeman Mbowe aliwahi kutamka Siha akiwaambia wafauasi wa CHADEMA kuwajibu wafuasi wa CCM wanaowashambulia kwa kuwa polisi hawafanyi chcochote wanaposhambuliwa, ila hakuna mtu aliyezungumzi kauli yake hiyo
Kwa maelezo aliotoa kwenye mkutano wake leo tayari keshajitoa mhangaHuyu naye ameanza kunichosha na matamko yake
HahaahaaaaBashe I never knew you are stupid to this extent...
Precisely he is.Bashe I never knew you are stupid to this extent...
wapo wenye akili sana tuTangu lini msomali akwa na akili?
Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe amekiri kusema kwa wafuasi wa CCM wawashambulia CHADEMA kweny mkutano wa kameni za Udiwani Mbweni mwezi Septemba mwaka jana.
Bashe amesema sababu ya kusema hivyo ni kuwa walikuwa wakielekea kwenye kampeni na kushambuliwa na wafuasi wa CHADEMA lakini polisi hawakuchukua hatua yoyote, na hivyo kuwaasa wana CCM wajilinde wenyewe watakaposhambuliwa na CHADEMA
Bashe amesema pia Freeman Mbowe aliwahi kutamka Siha akiwaambia wafauasi wa CHADEMA kuwajibu wafuasi wa CCM wanaowashambulia kwa kuwa polisi hawafanyi chcochote wanaposhambuliwa, ila hakuna mtu aliyezungumzi kauli yake hiyo
Ilimpasa kukiri ili umma umfaha kwa jinsi alivyo mnafik. Hata hivyo, kosa lake kubwa in kutoa kauli za kuhalalisha uhamasishaji wa vurugu! This guy is never to be trusted. Kauli zake zikiwemo zile zuri kabisa huzitoa kwa maslahi binafsi!Aibu sana kiongozi amekiri wazi kuchochea mapigano