Bashe na kundi lake wanaigharimu CCM

Ubaguzi unaouonyesha hapa kwenye ujumbe wako ndio BABA WA TAIFA ALIUITA UKABURU. Nadhani ungetaja jina lake ingetosha na ujumbe wako ungefika na si asili yake. Tuwekeni utaifa mbele. ukimfuatilia kila mtu katika nchi hii untashangaa asili za watu, inasemekana kwamba ni wagogo tu ndo wenye asili ya tanzania, labda kama wewe ni mgogo.
 
Huyu kijana sasa amezidi, na sijui kiburi hiki anakipata wapi. Sasa ameanza kampeni chafu baada ya kusikia kipenzi cha watu Kigwangallah anagombea uenyekiti wazazi Taifa. Hivi wewe shida yako nini hasa? mbona unatumika vibaya wewe? Unatuvurugia chama chetu. Kila kukicha ni wewe wa fitina na majungu. Go Kigwangallah go!! tuko nyuma yako

ACHA ILE; Kipenzi CHA watu UMESAHAU ? Watanzania MNA Memory FINYU EH? SIO BASHE ALIYEKUWA KIPENZI CHA WATANZANIA aliyepata kura kibao

MPAKA KIPENZI cha WAMA na MAMA SALMA kuingilia kati na KUMUITA BASHE sio RAIA? HAJAFUKUZWA nchi ina Maana ni RAIA si ndio?

Kiuhalali angepaswa kugombea UBUNGE kwa TICKETI ya CCM... WIVU WENU na UNYAMA WENU MUSHARAF and the TEAM

Huyu KIGWANGALLA si pia alimpiga MBIZI mtahiniwa SAHIHI; na kuchukua Jina lake Nchi zingine hili ni kosa la JINAI anatakiwa kuwa JELA

Huyu KIGWANGALLA si juzi juzi tu AMESHINDWA kura ndani ya BUNGE na MBUNGE mwenzake wa CCM kuwa Mwakilishi wa BUNGE la TZ East Afrika?

Walimpa Mikwaji Yake kuwa yeye ni WAMA tu hana lingine lolote... na kupigwa chini alipata kura 20 tu za CCM; sas UMAARUFU wake uko wapi?

Hana UMAARUFU kwa WANANCHI na pia kwa WABUNGE wenzake wa CCM... ni toka kwa MAMA SALMA tuuuuuu....
 
ndivyo mnavyofundishwa katika chama? kwamba mje hadharani kuhubiri ubaguzi? unakumbuka ktk kura za maoni mwaka 2010 hamis alikuwa nafasi ya ngapi? mkasema bashe ni msomali na kumtupa pembeni,... toa uchafu wako hapa, sera zenu za ukabila, ukanda, udini zitawa-cost sana....ona zoezi la sensa linavyosumbua, yote juu ya uzuzu wenu, tumewachoka!
 
OTIS

Hii axis ya Rostam-Lowassa na vijana wao hawa ni hatari sana kwa taifa kwa ujumla...na sijasikia kama CDM wakiwashambulia hawa kwa lolote na juzi juzi Rostam alikua anaisifia CDM kule Arusha, na Mbowe na slaa watawataja na kuwasema wengine wote lakini siyo Lowassa...nakua na wasi wasi sana na wapi tunaenda kama taifa...
 
Last edited by a moderator:
Huyu kijana sasa amezidi, na sijui kiburi hiki anakipata wapi. Sasa ameanza kampeni chafu baada ya kusikia kipenzi cha watu Kigwangallah anagombea uenyekiti wazazi Taifa. Hivi wewe shida yako nini hasa? mbona unatumika vibaya wewe? Unatuvurugia chama chetu. Kila kukicha ni wewe wa fitina na majungu. Go Kigwangallah go!! tuko nyuma yako

Nadhani na wewe ungeonekana huna fitina, majunga na wivu kama ungesema amemchafua namna gani huyo Kigwangala, kuja na maneno makali yasiyo na evidence na wewe unaonekana wale wale na unaishushia heshima JF...mimi kama ni kweli au la, maoni yangu ni haya.

Ukweli ni kuwa Bashe ni janga kwa CCM, ni kiongozi wa genge linalofanya kazi kuweka ufalme dhalimu ndani ya CCM na nchi kwa ujumla. Ila ukweli mkubwa kabisa ni kuwa Kigwangala ni dhaifu, hafai kuwa kiongozi, na mimi nimekuwa nikimshauri hapa JF na sehemu nyingine ninapopata nafasi kuwa ni bora akafanya kazi nyingine. Siasa na yeye ni kama mbingu na ardhi, nadhani angerudi kwenye kazi yake ya udaktari au labda angefanya hata biashara.
 
huyo Kigwangala si ndio alitoka povu juzi bungeni baada ya kubwagwa kwenye EAC na kuipondelea mbali ccm, inamaana anakogombea sasahivi ccm haiusiki.!
 
Ubaguzi unaouonyesha hapa kwenye ujumbe wako ndio BABA WA TAIFA ALIUITA UKABURU. Nadhani ungetaja jina lake ingetosha na ujumbe wako ungefika na si asili yake. Tuwekeni utaifa mbele. ukimfuatilia kila mtu katika nchi hii untashangaa asili za watu, inasemekana kwamba ni wagogo tu ndo wenye asili ya tanzania, labda kama wewe ni mgogo.

Sasa wewe ndiyo unakosea unajua bantu migration ilitokea miaka mingapi iliyopita? ni miakazaidi ya 5000 ikliyopita .watanzania wengi ni wenye asili ya Bantu au kwa kitaalamu tunasema Niger-Congo language groups na makabila yote ikiwemo wagogo ni wabantu na walikuja mida tofauti tofauti kufuatia hii large Bantu migration kuja Mashariki na kusini mwa Africa. kwa wabntu watu ambao ni wageni kabisa ni kabila la Wangoni waliokimbika mfecane wars za south Africa na Zulu domination. na kabila la zamani kabisa afrika mashariki na tanzania ambalo siyo wabantu ni hawa Wahadazbe ambao ni kundi la Khoisan language (wanaongea kwa clicking sounds) na hawa ndiyo waliokua wengi afrika ya mashariki hadi kusini kabla ya wabantu kuwazidi wingi.

Kundi lingine la zamani na tunaweza kusema ni watu halisi wa tanzania kutokana na kuja muda mrefu sana ni wamasai ambao wametoka katika kundi kubwa la Nilo Saharan language groups (ambao utakuta na Luo, dinka, turkana, tutsi etc)

Tanzania haina historia ya zamani ya uhamiaji wa Wasomali, wala wahindi na waarabu, waarabu wakiwa wafanya biashara kwa sana na hawakolowea kabisa. Huku wahindi wakiletwa 19th c na waingereza kwa ajili ya kujenga reli n.k Wasomali hawakuja Tanzania kwa wingi kwa sababu nyingi na wengi walianza kuja baada ya Uhuru wakitokea Kenya. Hawa ni wageni wahamiaji wa karibuni sana na hatuna budi kuwaangalia kwa umakini.
 
Nadhani na wewe ungeonekana huna fitina, majunga na wivu kama ungesema amemchafua namna gani huyo Kigwangala, kuja na maneno makali yasiyo na evidence na wewe unaonekana wale wale na unaishushia heshima JF...mimi kama ni kweli au la, maoni yangu ni haya.

Ukweli ni kuwa Bashe ni janga kwa CCM, ni kiongozi wa genge linalofanya kazi kuweka ufalme dhalimu ndani ya CCM na nchi kwa ujumla. Ila ukweli mkubwa kabisa ni kuwa Kigwangala ni dhaifu, hafai kuwa kiongozi, na mimi nimekuwa nikimshauri hapa JF na sehemu nyingine ninapopata nafasi kuwa ni bora akafanya kazi nyingine. Siasa na yeye ni kama mbingu na ardhi, nadhani angerudi kwenye kazi yake ya udaktari au labda angefanya hata biashara.
kaka ukiwa ccm mhafidhina unakuwa kama punguani kumbe sisi tunajadili yeye anapiga kampeni safi ulivyompa kubwa.
 
asante kwa taarifa. ila usitumie uasili wa mtu kwa kumbagua huo ni UKABURU. mwite kwa jina lake na sio ASILI YAKE.
 
OTIS

Be fair please and remember what goes around comes around!! Je, wewe unakubaliana na jinsi Bashe alivyotendewa katika kinyanganyiro cha uchaguzi 2010 kule Nzega hadi kuambiwa sio raia? Je, hiyo ilikuwa halali?

If he is hitting back kutokana na anayoyajua yamekaa ndivyo sivyo ndani ya CCM ni haki yake na usimtuhumu kuwa anahujumu chama! Kina Makamba waliojaribu kumfutia uraia wake wewe unawaitaje?

Hivi wewe unamwona Nape ni mtu wa maana? Hebu fanya home work yako vizuri ndio uongee hadharani and avoid being judgemental in the absence of detailed facts; No research no right to speak!
anasahau kama mwosha huoshwa sasa hivi ccm imebakia kutoana roho tu na ninakuhakikishia kaka tusipoangalia wataivuruga nchi hawa.
 
Kijana huyu na kundi lake amekuwa mstari wa mbele kukihujumu Chama cha mapinduzi kwa siasa zao za chuki na kutafuta ugomvi.

Ni jambo la ajabu na la kusikitisha sana kwani kijana huyu ana sifa ya kusaka ugomvi na inaonekana hadi kwenye utendaji wake kwenye akiongoza Habari Corporation.

Makala mbalimbali ambazo zimekuwa zinatolewa na magazeti ya habari corporation zimekuwa zinalenga kumhujumu Mhe Rais na viongozi waadilifu ndani ya chama na serikali.

Ikumbukwe kwamba Rostam na vijana wake kina Bashe ndio walimpiga marufuku Nape asikanyage Igunga wakati wa uchaguzi mdogo kwani wao wanaendekeza ugomvi na wana CCM zaidi badala ya kuleta maendeleo ya nchi hii.

Natoa rai kwa serikali kufuatilia nyendo za kundi hili kwani latishia ustawi wa nchi hii kwani hata uraia wao unatiliwa shaka na mpaka kesho hatujapata uthibitisho wa uraia wao.

Kuna umuhimu hili zoezi la vitambulisho vya taifa likatuondolea watu kama hawa nchini.

Wapambe wa Kingwalangwala hawa wameanza...
 
utofautisha serekal na chama.. Ustawi ni wa chama co nch! Kama wana fanya madudu wasiambiwe?..ccm co mama wala baba.. Kuogopa na kupnga kukosoa mabaya niupuzii
 
OTIS

Be fair please and remember what goes around comes around!! Je, wewe unakubaliana na jinsi Bashe alivyotendewa katika kinyanganyiro cha uchaguzi 2010 kule Nzega hadi kuambiwa sio raia? Je, hiyo ilikuwa halali?

If he is hitting back kutokana na anayoyajua yamekaa ndivyo sivyo ndani ya CCM ni haki yake na usimtuhumu kuwa anahujumu chama! Kina Makamba waliojaribu kumfutia uraia wake wewe unawaitaje?

Hivi wewe unamwona Nape ni mtu wa maana? Hebu fanya home work yako vizuri ndio uongee hadharani and avoid being judgemental in the absence of detailed facts; No research no right to speak!

Mkuu MTK nashukuru sana kwa mchango wako,ila naomba utambue kuwa nchi hii na chama chetu vinapoteza mwelekeo kwa sababu ya watu hawa wachache ambao asili yao haina uzalendo ndani yake hata kidogo.
Nape ni mtu safi na nakushauri pia ufanye utafiti kuliko kutete al shabaab mchana kweupe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom