Bashe na kundi lake wanaigharimu CCM

Bashe na kundi lake wanaigharimu CCM

Kuna mtu mwadilifu ndani ya Chama na Serikali? Acha uzushi wewe na kulalamika wewe, sema wote mnagombea maslahi yenu binafsi tu.

Sema anatishia Ustawi wa CCM na wala sio nchi. Mkishikwa kwenye nyeti mnakimbilia kwenye Uraia na kupeleka watu msitu wa Pande.

kwa kusema tu kuwa hakuna alie mwadilifu ndani ya CCM naona uwezo wako wa kupambanua mambo umegota ukingoni.
 
Mkuu hapo chini ni kwamba ulimaanisha NAPE NA KUNDI LAKE au Bashe kuighrimu CCM; maana kidogo sijakuelewa katika madai yako?

Msaada tafadhali katika hilo.

Msaada zaidi unatakiwa usome vizuri.
 
asante kwa taarifa. ila usitumie uasili wa mtu kwa kumbagua huo ni UKABURU. mwite kwa jina lake na sio ASILI YAKE.

mbona wahindi tunawaita wahindi? Hawa ni wasomali tu,wamekuja huku baada ya uhuru. Kwanza wanafanya biashara haramu ya binadamu. Ni upumbavu wa watz tu wanaopapalika kuwapa wahamiaji uongozi nchini kwetu.
 
Mkuu MTK nashukuru sana kwa mchango wako,ila naomba utambue kuwa nchi hii na chama chetu vinapoteza mwelekeo kwa sababu ya watu hawa wachache ambao asili yao haina uzalendo ndani yake hata kidogo.
Nape ni mtu safi na nakushauri pia ufanye utafiti kuliko kutete al shabaab mchana kweupe.
Jamani tuachane na ubaguzi wa namna hii.tuhukumu kutokana na matendo ya mtu na sio ethinicity.its unfair to discriminate some one based on his ethinic origin.kama una ushahidi wa uhalifu wa Bashe mripoti police na sio kumchongea kwa wana jf...
you can go to hell on this.
 
Last edited by a moderator:
Walikwishakanyagakanyaga kanuni na miiko halali iliyotumika kukianzisha na kukijenga chama kwa kisingizio cha Azimio la Zanzibar. Hivyo, siyo ajabu hata kidogo chama hiki kukabiliwa na mambo ya namna hii.
 
Kijana huyu na kundi lake amekuwa mstari wa mbele kukihujumu Chama cha mapinduzi kwa siasa zao za chuki na kutafuta ugomvi.

Ni jambo la ajabu na la kusikitisha sana kwani kijana huyu ana sifa ya kusaka ugomvi na inaonekana hadi kwenye utendaji wake kwenye akiongoza Habari Corporation.

Makala mbalimbali ambazo zimekuwa zinatolewa na magazeti ya habari corporation zimekuwa zinalenga kumhujumu Mhe Rais na viongozi waadilifu ndani ya chama na serikali.

Ikumbukwe kwamba Rostam na vijana wake kina Bashe ndio walimpiga marufuku Nape asikanyage Igunga wakati wa uchaguzi mdogo kwani wao wanaendekeza ugomvi na wana CCM zaidi badala ya kuleta maendeleo ya nchi hii.

Natoa rai kwa serikali kufuatilia nyendo za kundi hili kwani latishia ustawi wa nchi hii kwani hata uraia wao unatiliwa shaka na mpaka kesho hatujapata uthibitisho wa uraia wao.

Kuna umuhimu hili zoezi la vitambulisho vya taifa likatuondolea watu kama hawa nchini.

MAGAMBA yanagombana,kufeni na ujuha wenu!
 
Wewe mwenye hii thread, hebu tafuta ofisi zenu za chama MAGAMBA OFFICES ukaombe ushauri, huo ujuha wenu unaelekea mwisho
 
Kijana huyu na kundi lake amekuwa mstari wa mbele kukihujumu Chama cha mapinduzi kwa siasa zao za chuki na kutafuta ugomvi.

Ni jambo la ajabu na la kusikitisha sana kwani kijana huyu ana sifa ya kusaka ugomvi na inaonekana hadi kwenye utendaji wake kwenye akiongoza Habari Corporation.

Makala mbalimbali ambazo zimekuwa zinatolewa na magazeti ya habari corporation zimekuwa zinalenga kumhujumu Mhe Rais na viongozi waadilifu ndani ya chama na serikali.

Ikumbukwe kwamba Rostam na vijana wake kina Bashe ndio walimpiga marufuku Nape asikanyage Igunga wakati wa uchaguzi mdogo kwani wao wanaendekeza ugomvi na wana CCM zaidi badala ya kuleta maendeleo ya nchi hii.

Natoa rai kwa serikali kufuatilia nyendo za kundi hili kwani latishia ustawi wa nchi hii kwani hata uraia wao unatiliwa shaka na mpaka kesho hatujapata uthibitisho wa uraia wao.

Kuna umuhimu hili zoezi la vitambulisho vya taifa likatuondolea watu kama hawa nchini.

Bashe is a disaster..
 
Magamba mna roho za kutu. Kwenye kumalizana hamchagui wa nje wala wa ndani.
 
Kijana huyu na kundi lake amekuwa mstari wa mbele kukihujumu Chama cha mapinduzi kwa siasa zao za chuki na kutafuta ugomvi.

Ni jambo la ajabu na la kusikitisha sana kwani kijana huyu ana sifa ya kusaka ugomvi na inaonekana hadi kwenye utendaji wake kwenye akiongoza Habari Corporation.

Makala mbalimbali ambazo zimekuwa zinatolewa na magazeti ya habari corporation zimekuwa zinalenga kumhujumu Mhe Rais na viongozi waadilifu ndani ya chama na serikali.

Ikumbukwe kwamba Rostam na vijana wake kina Bashe ndio walimpiga marufuku Nape asikanyage Igunga wakati wa uchaguzi mdogo kwani wao wanaendekeza ugomvi na wana CCM zaidi badala ya kuleta maendeleo ya nchi hii.

Natoa rai kwa serikali kufuatilia nyendo za kundi hili kwani latishia ustawi wa nchi hii kwani hata uraia wao unatiliwa shaka na mpaka kesho hatujapata uthibitisho wa uraia wao.

Kuna umuhimu hili zoezi la vitambulisho vya taifa likatuondolea watu kama hawa nchini.

Usiililie CCM kwani imeshayoyoma. Hata yule mtanzania wa mwisho kabisa haijali. Angalia hata watoto wadogo hawajui kama CCM ni myama gani. Achana na msiba songa mbele kwenye uhai.
 
Kijana huyu na kundi lake amekuwa mstari wa mbele kukihujumu Chama cha mapinduzi kwa siasa zao za chuki na kutafuta ugomvi.

Ni jambo la ajabu na la kusikitisha sana kwani kijana huyu ana sifa ya kusaka ugomvi na inaonekana hadi kwenye utendaji wake kwenye akiongoza Habari Corporation.

Makala mbalimbali ambazo zimekuwa zinatolewa na magazeti ya habari corporation zimekuwa zinalenga kumhujumu Mhe Rais na viongozi waadilifu ndani ya chama na serikali.

Ikumbukwe kwamba Rostam na vijana wake kina Bashe ndio walimpiga marufuku Nape asikanyage Igunga wakati wa uchaguzi mdogo kwani wao wanaendekeza ugomvi na wana CCM zaidi badala ya kuleta maendeleo ya nchi hii.

Natoa rai kwa serikali kufuatilia nyendo za kundi hili kwani latishia ustawi wa nchi hii kwani hata uraia wao unatiliwa shaka na mpaka kesho hatujapata uthibitisho wa uraia wao.

Kuna umuhimu hili zoezi la vitambulisho vya taifa likatuondolea watu kama hawa nchini.


Hujuma IPI ni Mbaya zaidi ya kushinda kura za Maoni twice as Much ya mshindi wa PILI au Mara tatu ya Mshindi wa tatu; Halafu

Mshindi wa Tatu anachaguliwa Mbele yako; Unaambiwa wewe pamoja na kuzaliwa hapa NCHINI tumeamua sisi CCM

kwa Uwezo wetu, kwa Nguvu zetu wewe sio RAIA wa NCHI hii; kwahiyo hauwezi kugombea UBUNGE na tunafuatilia Mipango

Mbeleni kukuidhinisha au kukufukuza nchini. Yeye ni sawa sawa na Mtanzania yoyote hajui nchi nyingine zaidi ya Tanganyika

Utajisikiaje? Urudishwe Somalia? Come ON... Kiti chako unachogombea wamempa Mpinzani wako ambaye hakufurukuta chini

yako; sasa yeye umemsafishia njia ya kuubeba UBUNGE bila hata ya kutokwa JASHO... UTAJISIKIAJE? Acheni ile...

Yaani nyie pia mtaacha yapite tu, bila kujali? URAIA unatiliwa Mashaka... Toka lini MTU ANAYEZALIWA kwenye NCHI FULANI

Hata America wameshidwa kuiondoa hiyo sheria kupinga na kusema WAISLAMU kama AL-QUIDA na AL-SHAAB wanakuja na wake

Wajawazito kuzalia watoto wao America... Wameshindwa kuiondoa kwenye Katiba yao sababu ni kuondoa UHURU wa Mwananchi

Sasa kama USA wameshindwa kuondoa; Mnasema yeye URAIA WAKE UNATILIWA MASHAKA? as long as he was born here he is

a Tanzanian period.


Sasa Nyie...
Mtu anaiba Matokeo ya Mwenzake aliyefaulu; ni KOSA LA JINAI mtu anatakiwa kwenda JELA...

ni UHALIFU... NCHI ZINGINE kama USA ni jela ya MIAKA 10; FEDERAL Jail wanahesabu usiku na Mchana kwahiyo ni 5yrs.

Yeye ni Mama Salma kamsaidia... Wabunge wa CCM hawampendi hawakumpa kura kuwa Mwakilishi wa Bunge kwenda kwenye

Bunge la East Africa... akalia na kusema eti wanasema mimi ni mjumbe wa WAMA...

Wananchi wa Jimbo lake Wanampenda huyo Jamaa ambaye Mnasema sio RAIA zaidi ya Kipenzi chenu...

 
Bashe anauwezo na anakubalika kwa vijana,mpaka leo wana nzega wanamlilia.
 
Bashe ana uwezo na anakubalika kwa vijana,mpaka leo wana nzega wanamlilia.swala la uraia viongozi wa ccm walidhalilika.
 
Back
Top Bottom