Mambo ya Kibongo kweli yanakera. Sasa badala ya kuiarifu polisi anaamua kumwambia waziri wa mambo ya ndani, ili iweje? Au waziri ndiyo atamripotia polisi???
hata huko kashaenda kalale wewe umechoka hujasoma ujumbe vizuri. Hata kwa JK anaweza kwenda ila inaweza isisaidie kitu. na wewe unaonekana ni polisi ndio maana umekereka
Mambo ya Kibongo kweli yanakera. Sasa badala ya kuiarifu polisi anaamua kumwambia waziri wa mambo ya ndani, ili iweje? Au waziri ndiyo atamripotia polisi???
Hivi ikiwa ndiyo kutekana na kung'oana macho, meno, kucha bila ganzi je upande wa pili nao ukiamua kulipiza itakuwaje? Kwa sababu hapa lazima Bashe anawajua hawa watu wanatoka upande gani(Kundi gani).
Gazeti lake lilipoandika kichwa cha habari 'Urais wa Damu' lilimaanisha kuna kitu wanakijua ndani yake.
Hapo pagumu kama ndio polisi au TISS wanamfuatilia ni ngumu kupata masaada. Amwombe mungu ndio kiboko yao maana huwaumbua mpaka wanafunga magazeti. hata wakileta video feki watu wanagundua. In short watu wanaelewa kuwa wao ndio majambazi haswa ila tu lugha za heshima tu ndio zinatumika ili kubalance situation.
Mi ninachomshauri huyu jamaa yeye ajihami tuu,pamoja na mambo mengine asiache hata ka mguu ka kuku,Mkuu wa kaya yeye ni mwepesi wa kupanda pipa kuja kukujulia hali,wakati huo huna jicho,kucha na meno.
Mambo ya Kibongo kweli yanakera. Sasa badala ya kuiarifu polisi anaamua kumwambia waziri wa mambo ya ndani, ili iweje? Au waziri ndiyo atamripotia polisi???
...'Believe This and You Will Believe Anything' - James Hadley Chase.
niulize tu; habari ya wazi kama hii kweli ina lazima ya muandishi wake kujificha nyuma ya kichaka cha 'Mwandishi Wetu' badala ya kutumia tu jina lake la kweli? Ndipo hapo unapoanza kusita kuiamini...
Hivi kwann asipige simu kwa rafiki zake ili wamfuate na wao wawe na kundi wawakamate hao wanaomfuata..au angepiga hata simu polisi wkt bado yupo ktk gari akienda mbezi.mbona simu za polisi zipo tu..