"pamoja na kwamba hatuwezi kumwajibisha mwenyekiti kwa sababu ni wajibu wetu kulinda hadhi yake, lakini naye hawezi kujinasua katika tuhuma za kuvurugika kwa chama chetu hadi kufanya vibaya katika uchaguzi mkuu uliopita"
watajuana wenyewe magamba
Jf niwatu makini.umeanza kwa kukurupuka sana tafura habarikamili Kwanza ndipo u comment. naona unahamu sana yakuanzisha Chama, ccj imetokawapi hapo?Mkuki chungu kwa binadamu co!,kama hii taarifa ni ya kweli,ni alert nyingine kwa mkuu wa kaya kwamba n.a.pe ni mnafiki mkubwa,kilichomfanya aanzishe ccj bado anacho rohoni-atakuja kummaliza jk one day.Ngoja nipate nakala yangu Mwanahalisi kwanza
Huko kuvuana magamba kutatoka na nyama.
Kwani alichosema Nape uongo Kikwete ndiye sababu ya magamba mengine kugoma.
Wale waliyemuujumu NEC na kukata jina lake kwa kisingizio cha uraia walikuwa wanafanya siasa za kikubwa?haikuwa siasa ya maji taka?yeye alipoamua kuendelea kubaki CCM hata baada ya kuonewa na kudhalilishwa mbona mlimuita amekomaa kisiasa?vipi leo mbona anaonekana hajakomaa kisiasa?kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!!Bashe na akili zake za kitoto,siasa zake za maji taka zinampeleka pabaya huku akijiona kuwa yeye ni mjanja fulani toka Nzega, Hizo ni mbinu zile zile zilizowahi tumiwa na Salva + RA kabla ya 2005...Sioni jipya mwenzenu
Gazeti la leo la Mwanahalisi limepambwa na kichwa cha habari "Nape amgeukia Kikwete" likimnukuu Nape akisema kwamba JK ndiye chanzo cha matatizo ndani ya CCM na kumtaka naye ajivue gamba. La ajabu maneno hayo yanadaiwa Nape aliyatoa akiwa kwenye chumba cha habari cha New Habari (2006) Ltd mahasimu wakubwa wa Mwanahalisi ambao walichafuana kwa kupakana matope kupia magazeti yao.
Mazungumzo yaliyochapishwa inaonekana yalikuwa majibishano kati ya Nape na Bashe. Lakini baada ya majibishano hayo kwa lengo la kufanya 'Character assasination' Bashe ameamua kuongeza chumvi aliyoyasema Nape na kuwapa mahasimu wake (Mwanahalisi) ambao wamekuwa wakimwandika vibaya bosi wake (Rostam) ili amgombanishe na Mwenyekiti wake JK.
Bashe anaonyesha haja komaa kisiasa. Pamoja na tofauti walizonazo (Nape na Bashe), Nape alimua kuitembelea New Habari bili kujali kwamba wana uhasimu wa kisiasa lakini alichokifanya Bashe ni utoto unaolenga kumwaribia Nape. Mwandishi wa Mwanahalisi aliingiaje kwenye chumba cha habari cha New habari? Bashe acha siasa za majitaka.
Ongezea na So What? Who cares about what they do? They are a dying party already.Who Cares?
Gazeti la leo la Mwanahalisi limepambwa na kichwa cha habari "Nape amgeukia Kikwete" likimnukuu Nape akisema kwamba JK ndiye chanzo cha matatizo ndani ya CCM na kumtaka naye ajivue gamba. La ajabu maneno hayo yanadaiwa Nape aliyatoa akiwa kwenye chumba cha habari cha New Habari (2006) Ltd mahasimu wakubwa wa Mwanahalisi ambao walichafuana kwa kupakana matope kupia magazeti yao. Mazungumzo yaliyochapishwa inaonekana yalikuwa majibishano kati ya Nape na Bashe. Lakini baada ya majibishano hayo kwa lengo la kufanya 'Character assasination' Bashe ameamua kuongeza chumvi aliyoyasema Nape na kuwapa mahasimu wake (Mwanahalisi) ambao wamekuwa wakimwandika vibaya bosi wake (Rostam) ili amgombanishe na Mwenyekiti wake JK. Bashe anaonyesha haja komaa kisiasa. Pamoja na tofauti walizonazo (Nape na Bashe), Nape alimua kuitembelea New Habari bili kujali kwamba wana uhasimu wa kisiasa lakini alichokifanya Bashe ni utoto unaolenga kumwaribia Nape. Mwandishi wa Mwanahalisi aliingiaje kwenye chumba cha habari cha New habari? Bashe acha siasa za majitaka.
Wale waliyemuujumu NEC na kukata jina lake kwa kisingizio cha uraia walikuwa wanafanya siasa za kikubwa?haikuwa siasa ya maji taka?yeye alipoamua kuendelea kubaki CCM hata baada ya kuonewa na kudhalilishwa mbona mlimuita amekomaa kisiasa?vipi leo mbona anaonekana hajakomaa kisiasa?kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!!
Kwa hiyo tukuelewe kuwa Umetumwa na Nape au unametetea Nape?
Hebu Toa Upuuzi wako hapa, kwani hujui kuwa Kikwete ndio Gamba kama yalivyo ya pacha 3