OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Habari nilizozipata muda huu kwenye chanzo cha kuaminika zinasema kwamba Hussein Bashe yupo anafanya press conference miongoni mwa yaliyojiri ni kwamba kamshukia Membe kwamba ni MNAFIKI na anaishi kwa kubebwa huku akimtumia kibaraka wake bw Lazaro Nyalandu kumchafua,bado anaendelea kuzungumza akimaliza tu uzi wote hapa.Narudi jikoni.