Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 511
- 1,337
Bashe ni kijana wa rostam, nchimbi..mkakati unapikwa suala la muda tu.Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Alizishika sharubu za kambale wakati wanakula sahani moya!Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Habari za Bashe muulize Basha wako Rostam ambaye huwa unajinanga mitandaoni kuwa ni basha wako mmekuwa na kucheza pamoja kule Mwisi kwa Mamuro..Hebu tuelezeni kwa utuo ni kipi hasa kinaendelea hao uliowataja wamekosa vyeo?
Sana. Na kwa habari za ndani kaumiza watu wengi sana hivyo anawindwa ka digidigi wammalize kwa aliyowafanyia akiwa waziri kilimoWanafanana kwa kutokuwa na cheo, lakini kwa legacy wanatofautiana pakubwa
BBT mradi mfu usio na matokeo +vealikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Na ummy kazuiliwa kuvuka boda akiwa horohoro sijui...Kosa kubwa ni kuwa Team Nchimbi
Like seriously ?Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Hana lolote...debe tupu, mikwara mingi. Sijawahi mkubali kwa lolote... mara 100 KigwangalaBashe ni moja ya vijana wazee wajinga sana ni mchumia tumbo. Yaani pamoja na kujiona ni mfalme wa kuleta michongo ya ovyo ila wapi mfumo umemtema
Huyo bashe ni mtu Katili mno na mpenda fedha sana huyo nilimjua rangi yake halisi msimu wa mwaka Jana wa korosho kwenye maghala makuu ya TANECU aisee isingekuwa mzee mkuchika kuingilia kati ilikuwa tunanyang'anywa usimamizi wa kutunza maghala ambapo tulishinda kihalali kabisa kwasababu alishamleta mtu wakeBashe ni mtu wa OVYO, hata ubunge ashukuru Mungu alikuwa anapigwa chini, pale tabora alimweka ndani jamaa muuza vifunga shio Ili viuzwe vyake jamaa rangi yake haimtumi kuwa mzarendo kamwe
Alipost kwenye mtandao wa X akikemea utakaji na kuishauri serikali kama mtu amekosea amepelekwe mahakamaniKama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
Dah bora Bashe, Kigwangala ana matatizo ya akili. Bashe tatizo ni anapenda hela na bonge la fisadi he can even kill ili apate hela. Kigwangala yeye maamuzi yake ni kama mwehu he doesn’t make sense kabisaHana lolote...debe tupu, mikwara mingi. Sijawahi mkubali kwa lolote... mara 100 Kigwangala
Subiri report ya CAG akwambie bank ya kilimo iliyoanzishwa juzi ipo chali. Jamaa washakomba mtaji wote na wametokomea kusiko julikana.
Hivi kitu gani Bashe amewahi anzisha kikadumu hata mwaka mmoja zaidi ya kuongeaga ujinga tu, kupewa hela nyingi kwa ideas zake hovyo.
Mnawakuza sana hawa wapuuzi ambao hawana mafanikio ya utendaji. Hali ya kilimo ni worst zaidi ya alivyoikuta na kapewa zaidi ya trillion tatu ndani ya muda wake. Legacy zero, nada; halafu unatuambia mmbunifu jitu jizi.
Hana lolote...debe tupu, mikwara mingi. Sijawahi mkubali kwa lolote... mara 100 Kigwangala