bashe adodondoka uchaguzi udom

mi nawashangaaa sanaaaa eti udini??? Udom kuna waisilamu takribani 1,500 na wakristo takriban 18,500 waislamu hawafiki asilimia kumi ya chuo why mseme jk kaleta udini why mseme bashe ni mdini hivi watu hao wachache watamuekaje kiongozi madarakani?? Nyie ni wasomi tumieni akili msikurupuke. Nafkiri udom tujifundishe kuflash tukienda chooni kabla hatujaanza kupayuka kuhusu tusiyoyajua
 
deborah gabriel ndo rais wa chuo makamu wake pia ni mdada anaitwa theresia, mh kazi ipo, kura pia zilipigwa kidini but nashukuru hakushinda coz udini ukizidi!!!!!!!!!!!!!!

Acha upumbavu, yaani kijana mzima na akili zako unawaza udini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom