Basata ya makengeza

Kwa hiyo nyimbo zote zinazokubaliwa 100%!? zina uharisi
 
Mafisiemu hawataki kuambiwa ukweli mbona wasiwafungie wasanii wanaoimba uongo huko majukwaani kwenye kampeni.
 
watupe ushahidi kuwa wapinzani wataisoma namba......:sad:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…