- Kwenye daladala ambako wanafunzi wengi wanasafiria
- Kwenye sherehe mitaani ambako wanafunzi wengi wanaishi
- Kwenye school buses
- Kwenye mabasi yanayokodishwa kupeleka wanafunzi tour
- Kwenye mabasi ya abiria
- Kwenye mikutano ya siasa
- Kwenye maduka ya mahitaji muhimu
- Kwenye barber shops
Mkuu hebu tutazame kwanza age ya walioko huko BASATA, huenda hawajui kabisa maana ya maadili, zamani alikuwepo Yustus Mkinga ambaye ni Mwalimu, college mate wa Jenista Mhagama na Jumanne Sagini pale Korogwe TTC, kwa umri wake na taaluma yake sidhani kama haya ya huo muziki angeyafumbia macho labda kuna nguvu inamdhibiti