BARUWA YA MAPENZI HIYO Jamani.....




Hii safi sana Mkuu.

Huyo msichana asimkubali hata kidogo huyu jamaa kwa sababu ameanza na UONGO uliokithiri.

Anasema "USIKU SIPATI USINGIZI - HATA NIKILALA NAKUOTA" Sasa analalaje mpaka kuota wakati hapati usingizi?

Good one.
 
 
Last edited by a moderator:
Sasa hebu tuwekee uongo wa siku hizi. Kwamba ni bilionea? Una nyumba kila kona ya nchi? au unaazima gari ya rafiki ili uonekane una ndinga?





Uongo wa zamani,ukiutumia siku hizi hupati kitu...
 
Last edited by a moderator:
Asikudanganye mtu, vijana wote wa umri wangu na kuendelea, ambao enzi zetu hakukuwa na simu wala intaneti tuliziandika sana hizo barua. Hata kama si maneno hayohayo, bado tuliyaandika mengi yafananayo na hayo
 
ahahaaa!!yaani zamani mtu akikuambia au kukuandikia hivyo basi anamaanisha kweli anakupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…