Baruan Muhuza alishaondoka AzamTv?

Baruan Muhuza alishaondoka AzamTv?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,132
Reaction score
9,687
B4DFA7F8-8DF9-4DE3-A618-7AB9D89DD7F4.jpeg

Nimekutana hii huko twitter Baruan Muhuza mmoja ya waandishi nguli na viongozi wa AzamTv ameanzisha chuo chake cha habari kijulikanacho kama Ujiji Brodcasting Academy (UBA) kilichopo Ujiji mkoani Kigoma. Hivi Baruan bado yupo AzamTv au alishaondoka?
 
Amefungua chuo cha uandishi wa habari na sijui kiko wapi
 
Safi sana kama kajiongeza zaidi.
 
Back
Top Bottom