Barua yangu ya wazi kwa Mweshimiwa Godless Lema (Mb)

TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
Godi

Kwanza niseme wazi nakukubali, katika Kikosi cha Chadema wewe nakukubali zaidi. Ninazo sababu zakusema nakukubali lakini nizihifadhi Kwa Leo.

Nimestushwa mno baada ya kukusikia na wewe umeingilika kwenye Inshu ya Ukuta. Najiuliza umekiingia Kwa kujua au hukujuzwa mantiki yake. Na Kwa uchungu huo wa kujua au kutokujua mantiki behind UKUTA nimeona nimwage tu ungwe hii.. kumbuka mwanasoka Thierry Henry alivyosema juu Yenu wanasiasa na jamii " Politicians are there to try to deal with stuff, but sometimes it's both fortunate and unfortunate that people like us have more... not involvement, but more power in the stuff that we say" .

Naamini Unajua fika UKUTA ni Inshu ya MAFISADI ya CCM Na MAFISADI Yaliyojificha UKAWA. Hasa yale ya CCM ambayo tokea awali yaliongoza vuguvugu la JPM asipewe uenyekiti wa Chama Kwa kutumia mgongo wa BAVICHA. leo wamekuja na stail Mpya ya kukitumia Chama CHOTE.. for Sure CHADEMA KUKUBALI KUTUMIKA NA MAFISADI SURELY I REGRET BEING PART OF YOU GUYS.

Naamini pia Unajua Lengo la Ukuta ni kumshake_shake JPM Ashindwe kutimiza adhma ya Nia yake Njema kuwaletea Watanzania mazingira ya Maendeleo na Kudeal na nakupe ya nchi. Na Unajua Fika hata Leo JPM akisema anaruhusu mikutano still MAFISADI yatatafuta njia zaidi mbadala ya kumshake-shake hadi ashindwe kutimiza lengo lake. Na kwa namna flan hadi sasa MAFISADI yamefanikiwa kuslow Down speed Yake JPM ambayo aliadhimia kuianza kukisafisha CHAMA chake.

Binafsi inaniuma sana, CDM kutumika na Mafisadi it Pain me a lot. Nimetumia Nguvu nyingi kukijenga Chama Kwa mawazo na Nia yangu, ambacho Leo mbele ya Macho yangu wanageukia mabakuli ya Mafisadi.

Godi, Unajua wazi Kabisa kwamba Maandamano hayo kuna wananchi wavutabangi, wakora, vibaka n.k ambao hamwezi kuwadhibiti kufanya uhalifu, mnajua pia kwamba kuna Askari Polisi ambao vichwa vyao nao wanavijua wenyewe ambao wanaweza kutumia siraha za moto Na kumwaga Damu za Maskini Watanzania ambao wamezolewa Na utamu Wa maneno Yenu. Utapenda sana kuona haya YAKITOKEA?!?!. Unanishangaza ..for all people Na Godi naye kakiingia?!

MNASEMA kazi ya Chama cha Kisiasa ni Kushika Dola, fine, sipingi kauli hiyo lakini sidhani kama ni Kushika Dola Kwa kuchochea vurugu Na Uasi, maandamano na matusi.. sidhani.. Nadhani Chama Cha kisiasa lazima kibuni Na kuchochea mbinu za maendeleo na kuleta nafuu ya Maisha kwa wananchi ili wakiamini Na kukichagua kwenye chaguzi maridhawa.

Mnaweka Ukuta, Ukuta Kati ya Serikali, Rais, wananchi, vyama vya kisiasa Na Wadau wengine, MAFISADI wanatuonaje sisi!?, Wanatuchukulia poa sana eee!!

Mwitaliano muigizaji maarufu Michael Edward Pellin alisema "Contrary to what the politicians would like us to believe, the world won't be made safer by creating barriers between people" sasa MAFISADI wanawatumia kutengeneza UKUTA.. UNADHANI KUTAKUWA NA AMANI TENA!!

Hii ni Tanzania, ya Watanzania, Na sisi Sote ni watanzania .. Lazima tuwe wamoja kwa maendeleo ya Umoja wa Nchi Yetu. Kiongozi apimwe Kwa Matunda ya Kazi Yake na si vinginevyo.
 
umeandika vizuri tena kwa mtiririko wa hoja, ila nakuuliza hivi, umeshanunua kapu la matusi?
 
kama umeona chadema kuna fisadi kwanini hamjachukua hatua za kisheria au vipi wewe dada yangu.kama bwana yako ni fisadi kwanini usimpeleke police?

swissme
 
Hiyo single yenu ya mafisadi kuwa wapo Chadema mbona ilishachuja long time ago?

Hivi nikuulize swali jepesi tu, hivi kama kweli Edo angekuwa fisadi kama mnavyotaka kutumia hiyo propaganda yenu kwa Umma ni kwa nini hamjamburuza mahakamani hadi hivi sasa?

Hebu jaribu kuwa mkweli hivi hao mafisadi wanaotumbuliwa na JPM kila kukicha ni wanachama wa CCM au wa Chadema?

Ukinijibia hayo maswali 2 kwa ufasaha utakuwa umeondoa sintofahamu iliyopo na utakuwa umeueleshwa Umma wa watanzania kuwa kumbe asilimia 99 ya mafisadi walioko nchini wapo kwenye chama tawala cha Sisiem na wala hawapo CDM......
 
Hahahahahahaha ccm kichaka cha majuha kweli. Hivi kuna mwana ccm hapa jf mwenye hoja ya maana zaidi ya VUTA NIKUVUTE tu. Baada ya huyu jamaa waliobakia wote mambulula watupu.
 
Acha kumkosea adabu Mh.Lema unajifanya unajua kumbe hujui kama hujui.
 
Memory card yako ya kichwani umei format au bado virus wa ujinga toka Lumumba wanasambaa mwili mzima
 
Godi

Kwanza niseme wazi nakukubali, katika Kikosi cha Chadema wewe nakukubali zaidi. Ninazo sababu zakusema nakukubali lakini nizihifadhi Kwa Leo.

Nimestushwa mno baada ya kukusikia na wewe umeingilika kwenye Inshu ya Ukuta. Najiuliza umekiingia Kwa kujua au hukujuzwa mantiki yake. Na Kwa uchungu huo wa kujua au kutokujua mantiki behind UKUTA nimeona nimwage tu ungwe hii.. kumbuka mwanasoka Thierry Henry alivyosema juu Yenu wanasiasa na jamii " Politicians are there to try to deal with stuff, but sometimes it's both fortunate and unfortunate that people like us have more... not involvement, but more power in the stuff that we say" .

Naamini Unajua fika UKUTA ni Inshu ya MAFISADI ya CCM Na MAFISADI Yaliyojificha UKAWA. Hasa yale ya CCM ambayo tokea awali yaliongoza vuguvugu la JPM asipewe uenyekiti wa Chama Kwa kutumia mgongo wa BAVICHA. leo wamekuja na stail Mpya ya kukitumia Chama CHOTE.. for Sure CHADEMA KUKUBALI KUTUMIKA NA MAFISADI SURELY I REGRET BEING PART OF YOU GUYS.

Naamini pia Unajua Lengo la Ukuta ni kumshake_shake JPM Ashindwe kutimiza adhma ya Nia yake Njema kuwaletea Watanzania mazingira ya Maendeleo na Kudeal na nakupe ya nchi. Na Unajua Fika hata Leo JPM akisema anaruhusu mikutano still MAFISADI yatatafuta njia zaidi mbadala ya kumshake-shake hadi ashindwe kutimiza lengo lake. Na kwa namna flan hadi sasa MAFISADI yamefanikiwa kuslow Down speed Yake JPM ambayo aliadhimia kuianza kukisafisha CHAMA chake.

Binafsi inaniuma sana, CDM kutumika na Mafisadi it Pain me a lot. Nimetumia Nguvu nyingi kukijenga Chama Kwa mawazo na Nia yangu, ambacho Leo mbele ya Macho yangu wanageukia mabakuli ya Mafisadi.

Godi, Unajua wazi Kabisa kwamba Maandamano hayo kuna wananchi wavutabangi, wakora, vibaka n.k ambao hamwezi kuwadhibiti kufanya uhalifu, mnajua pia kwamba kuna Askari Polisi ambao vichwa vyao nao wanavijua wenyewe ambao wanaweza kutumia siraha za moto Na kumwaga Damu za Maskini Watanzania ambao wamezolewa Na utamu Wa maneno Yenu. Utapenda sana kuona haya YAKITOKEA?!?!. Unanishangaza ..for all people Na Godi naye kakiingia?!

MNASEMA kazi ya Chama cha Kisiasa ni Kushika Dola, fine, sipingi kauli hiyo lakini sidhani kama ni Kushika Dola Kwa kuchochea vurugu Na Uasi, maandamano na matusi.. sidhani.. Nadhani Chama Cha kisiasa lazima kibuni Na kuchochea mbinu za maendeleo na kuleta nafuu ya Maisha kwa wananchi ili wakiamini Na kukichagua kwenye chaguzi maridhawa.

Mnaweka Ukuta, Ukuta Kati ya Serikali, Rais, wananchi, vyama vya kisiasa Na Wadau wengine, MAFISADI wanatuonaje sisi!?, Wanatuchukulia poa sana eee!!

Mwitaliano muigizaji maarufu Michael Edward Pellin alisema "Contrary to what the politicians would like us to believe, the world won't be made safer by creating barriers between people" sasa MAFISADI wanawatumia kutengeneza UKUTA.. UNADHANI KUTAKUWA NA AMANI TENA!!

Hii ni Tanzania, ya Watanzania, Na sisi Sote ni watanzania .. Lazima tuwe wamoja kwa maendeleo ya Umoja wa Nchi Yetu. Kiongozi apimwe Kwa Matunda ya Kazi Yake na si vinginevyo.
Uchambuzi mzuri, mafisadi wamenunua akili za wachumia tumbo chadema
 
kila siku mnaimba mapambio tu ya ufisadi, nadhani ningekuona wa maana kama ungemshauri malaika mkuu akawakamata mafisadi na kuwafikisha mahakamani badala ya huu uharo ulioandika hapa
 
.

Naamini Unajua fika UKUTA ni Inshu ya MAFISADI ya CCM Na MAFISADI Yaliyojificha UKAWA. Hasa yale ya CCM ambayo tokea awali yaliongoza vuguvugu la JPM asipewe uenyekiti wa Chama Kwa kutumia mgongo wa BAVICHA. leo wamekuja na stail Mpya ya kukitumia Chama CHOTE.. for Sure CHADEMA KUKUBALI KUTUMIKA NA MAFISADI SURELY I REGRET BEING PART OF YOU GUYS.
Hawa mafisadi waliojificha CHADEMA imeshindikana kabisa kuwashughulikia ili tufunge huu mjadala? Serikali ipo, vyombo vya dola vipo, mahakama zipo! Sasa kwanini tunaacha kuchukua hatua stahiki dhidi yao badala yake tunapiga porojo tu?
 
Anakinga ndio maana bado anaulinzi unaogalamiwa na serikali

Back
Top Bottom