Barua yangu kwa wamama na wadada

Barua yangu kwa wamama na wadada

Nikitaka kuoa kaka nitakutafuta una hekima sana kwenye maisha ya familia ndoa . 🙏
Tukipata nafasi nitakuja kabisa na jiko langu mtupe shule wewe na mkeo. Ukiachana na ulevi wako hapo una nyota tanoo
Karibu sana mkuu, ndoa ni jambo jema sana na Mungu akikuongoza ukapata mke anaekutii na kukusikiliza kisha ukampenda..... hakika utaifurahia ndoa.
Leo nimendioa uzi nikiwa sijalewa mkuu....🤣
 
Some women wanakatala hata kuwapea waume zao uroda. Manzi unamuwowa, unalipa bride price, then anaanza kukuwa buffalo soldier kwa nyumba ulifanya kwa mikono yako.

Sasa hii ni ile kitu mungu wetu hapendi
Ukiona ndoa yako imefikia hatua hiyo mkuu, vunja ndoa.
Ndoa ni furaha na amani, na kama hayo yote hayapo basi hauto ifurahia ndoa aiseee...
 
Umeandika kizungu umesahau wanawake wasomi hawabembelezi mapenzi na wanawake wasio wasomi ndo ujali na kubembeleza mapenzi na ujumbe umeandika kizungu maana yake ujumbe hautofika kwa warengwa.

Badiri lugha kuwapata wahusika
 
Ukiona ndoa yako imefikia hatua hiyo mkuu, vunja ndoa.
Ndoa ni furaha na amani, na kama hayo yote hayapo basi hauto ifurahia ndoa aiseee...
Shida Moja iko ni kwamba mimi ni mulokole, ya kwamba when I break it ndiyo itakuwa mwisho wa mimi kufanya ngono.

So I don't want to live without having sex due that's my only pleasure on this earth, Mimi si mutu wa football wala sifuatilii vile music zinaenda, that's why navumilianga tu haya..
 
Badilika mama, utakuja jikuta umeachwa then jeuri na kibri haito kusaidia.
Sisi wanaume tunabeba mambo mengi sana, na kwakua hatilii mbele za wake zetu basi dunia inatuelemea sababu hatuponi
Hakika Mkuu huwa wanatujeuria bila sababu 😂😂😂 wakishafika 30+ value yao huanza kushuka halafu wanakuwa watu wa makasiriko bila sababu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom