Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,699
- 1,455
itakuwa hai zaidi kwa faida yetu wasakatongeAsipoiona nitampelekea
Shida itakuwa kwabaadhi ya kampuni, ukibadili kadi inabidi upande batini kurekebisha uelekeo kulingana na kampuni husika.Ni wazo zuri. Hasa decorde iwe na ports za kuingiza cards kama 3 at the same time. Halafu ukiwasha kunakuwa na facility ya option ya ku-select card unayotaka kutumia wakati huo kama ni Azam, Continental, DSTV au ZUKU na unaweza kubadili wakati wowote.
Watakuwa wametusaidia kwa kiwango kikubwa sana.Ni wazo zuri. Hasa decorde iwe na ports za kuingiza cards kama 3 at the same time. Halafu ukiwasha kunakuwa na facility ya option ya ku-select card unayotaka kutumia wakati huo kama ni Azam, Continental, DSTV au ZUKU na unaweza kubadili wakati wowote.
Shida itakuwa kwabaadhi ya kampuni, ukibadili kadi inabidi upande batini kurekebisha uelekeo kulingana na kampuni husika.
Wazo murua kabisa
Maamuzi anayo Bw.Mkubwa.Hata ukipiga kelele ni bure tu.Kama wanatutishia kutufunga tunapouliza habari za Rais wetu, hilo kamwe hataliweza.Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama!
Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana habari, tulianza na analojia na sasa digitali, tulikubali mabadiliko yale lakini katika digitali tumekumbana na adha ambayo inazidi kudidimiza hali zetu kwa kutuminya kwenye ada za vifurushi kuwa juu, vile vile kulazimika kuwa na dikoda zaidi ya moja ili kukidhi haja mbalimbali za kihabari.
Tumeona sasa majumbani nyungo zinajaa kwenye bati kuliko hata ofisi za mafundi satelaiti, yote yanatokana na huduma kutopatikana katika kukidhi matakwa ya mlaji, wazo langu na ushauri® katika kutofautisha makampuni kuwe na card kama zilivyo laini za simu yani nikitaka kuwa hata na kampuni tano za dikoda, sihangaiki kuwa na madishi matano, nakuwa na dishi moja, dikoda moja lakini kadi ndio tano za kampuni tofauti!
Makampuni yanayotengeneza dikoda yawe yanatengeneza zikiwa na uwezo wa kupokea kadi zote za makampuni yote! Ahsante.
Ndugu yangu, sijapata. Nimeona nipamban tu Sasa na maisha mengine Hilo nisahau.Asante chief, vipi kwa upande wako ulifanikisha lile suala lako la kutafuta eva na wewe uwe adam?
Maamuzi anayo Bw.Mkubwa.Hata ukipiga kelele ni bure tu.Kama wanatutishia kutufunga tunapouliza habari za Rais wetu, hilo kamwe hataliweza.
Tembelea vijijini wapo wengi.Ndugu yangu, sijapata. Nimeona nipamban tu Sasa na maisha mengine Hilo nisahau.
Sambamba mkuuAhahaha,,,,hamna shida Mkuu. Nitasonga hivi hivi.