Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 40,632
- 52,394
hao ndio wale wasomi wa wakati wa mwalimu,
wengi walikuwa wanabebwa ili kuleta maendeleo hasa zile
sehemu za pembezoni mwa nchi kama mtwara.
na vile vile atakuwa ameendelea kubwebwa kwa kutokukalia uchumi
wake.
wana mtwara jipangeni upya ' CHAGUA CHADEMA, CHAGUA MAENDELEO'
na kama unabisha njoo kule kwetu uone vile greda linavyotengeneza barabara hadi
za uchochoroni.