Barua ya wazi kwa malkia wa Uingereza, lolote na liwe

Nchi haipo katika Path itayoleta maendeleo. Kikwete amechaguliwa hapa,kila mtu alikuwa na matumaini makubwa.,lakini matumaini yote yamekuwa dashed to pieces. Hakuna maendeleo,imebakia visingizio tu,awamu ya kwanza mpaka awamu ya nne,awamu ya sasa. Waziri wa Fedha alikuwa anasoma bajeti jana,sikumsikia amesema lini anategemea kuwatoa wananchi wote kutoka kwenye umaskini;amesema tu anategemea kuwatoa wananchi wengi kutoka kwenye umaskini. Ndio maana we are very interested tunaposikia kwamba hii njia tuliyoichukua tuliichagua wenyewe. Kama tunataka maendeleo,all options should be on the table. Kuna zone pale katikati;kati ya ukoloni na kuwa ward ya nchi nyingine. Hatusemi Tanzania irudi kwenye ukoloni.Hata tusipokuwa wads wa Uingereza au Marekani,maendeleo yetu probably yatahitaji tushirikiane kwa karibu zaidi na Russia au China,in a special relationship. Hii fiction ya self-determination ndio inaturudusha nyuma,hili wazo kwamba ''indepence is the right to manage or mismanage our affairs.'' How can someone have the right to mismanage his affairs?. And if we wanted to do such a thing,kuileta karibu Uingereza au Marekani,au both UK and US;sidhani kama tutahitaji maoni ya Watanzania 40 au 50 million;possibly tutahitaji tu maoni ya watu 40 au 50;a few key people. Nawasilisha.


Ada ya mja kunena,muungwana ni vitendo. Wale watu wanaowashutumu Waingereza kwa kusapoti ushoga wamepotea kabisa. At least wao wanawaruhusu watu kufanya chaguo. Ingawa Membe anasema Tanzania hairuhusu ndoa ya jinsia moja,tutaweza kuona katika siku saba zijazo kama hiyo ni kweli. Serikali itapimwa kwa maneno yake na matendo yake. Mawazo yangu ni kwamba yule Dr. Hessin Mwinyi is too clever. Anataka huduma hospitalini ziendelee ili wagonjwa wasiteseke,pia hataki kuwalipa madaktari. This is too clever;ni jambo ambalo linaweza kuiingiza nchi katika maafa makubwa.
 
Back
Top Bottom