Tulieni Gavana alifanyie kazi suala hili, hoja hapa ni makato doubledouble, haiwezekani nikatwe gharama za kila nikitoa pesa kwenye ATM, nitozwe pesa ya kuwa na account kisha nitozwe pesa eti ya kumiliki kadi, huu ni uendawazimu!
Halafu nyinyi ma uncle Tom, watu wa hewala baba kwa kila kitu jueni kuwa hizi ni zama mpya za watu kuhoji kila senti yao inavyotumika, haiwezekani tupate hela kwa shida halafu watu wakae wajiwekee makato makubwamakubwa!
Kitu kingine katika nchi zinazojitambua ukiongeza bei ya mkate hata kwa shilingi bila sababu za msingi watu hawakuelewi, lakini leo hii hii benki inakwangua BUKU SABA MIA TISA TISINI NA TISA halafu unasema tutulie tu?. No way kama nyinyi mmekubali au mnazo nyingi basi poa, lakini sisi wengine tunataka Gavana atumie mamlaka yake ya kusimamia mabenki ili makato yawe na mashiko siyo kukamua watu tu.
Mwisho, kuna lawama nyingi zimeshaletwa na wananchi humu JF kuhusu hii benki, kwa hiyo ni wajibu sasa ijitathmini na ijirekebishe, haiwezi kuja na schemes za kukamua wateja tu ili iweze kuwa afloat.
Mimi kama raia wa nchi ambayo serikali ina hisa katika hiyo benki nina haki ya kutoa maoni juu ya hiyo benki, na kwa hiyo namuomba Gavana awaulize haya makato yote haya ya nini?[/Q
Unaoneka kuwa na ovu na CRDB tu, kam
Hata wewe unayepinga hii mada una Id fake, huenda hata wewe ndiye Mkurugenzi mwenyewe wa CRDB unatetea benki yako!
Tuachane na mambo ya ID, ID ni alias tu ila cha msingi ni taarifa/hoja/mawazo/maoni etc
Nimetoa maoni yangu
Unayo haki na wewe kuandika mada kupongeza makato ya CRDB kama unayapenda, ila mimi binafsi naona kama ni ukwapuaji!
Nimekuuliza kama ulitaka gavana akujibu kwa mini umeleta huu Uzi JF. Ukivua nguo barabarani tegemea utaonwa na watu wengi. Kwa hoja yako kuja JF tafadhali use tayari kupokea maoni hasi na chanya.nimekuuliza hiyo card fee iko crdb pekee yake ? Je umekatwa kwa siku,mwezi ,mwaka au muamala?