Barua ya wazi kwa Gavana BoT

Barua ya wazi kwa Gavana BoT

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,021
Reaction score
63,127
Salaam ndugu Gavana,

Pole sana na majukumu nyeti unayoendelea nayo ya ujenzi wa Taifa.

Ama baada ya salamu , nimeona nikuandikie barua ili mimi kama raia kukueleza sintofahamu inayoendelea katika mabenki yetu hapa nchini hususan benki hii ya CRDB.

Ndugu Gavana hii benki imekuwa na makato makubwa, yasiyo na maana, makato yaliyojikita katika wao kumaximize profit at the expense ya sisi wananchi.

Mheshimiwa Gavana, ili Taifa letu liendelee linahitaji jamii iliyoridhia kutumia mifumo rasmi ya utunzaji wa fedha ili kwayo serikali iweze kumonitor ipasavyo kila senti inayoingia na kutoka katika mzunguuko. Kwa bahati mbaya baadhi ya benki zinakwamisha jambo hili kwa kuweka makato makubwa tena kwenye huduma ambazo kimsingi ni za kawaida kabisa kwa mteja hali inayoufanya umma uone ni hasara kuweka pesa benki.

Mheshimiwa Gavana, CRDB wana haya makato yanaitwa Card fee, Wanakata takriban shilingi 7999 kwenye account ya mtu, Wanajichukulia tu fedha za wateja kila baada ya miezi kadhaa kwa hoja eti wanalipia card!. Haya ni maajabu makubwa!

Mheshimiwa Gavana, bila shaka unatambua kuwa kila mteja afanyapo muamala kupitia ATM kuna pesa ya muamala anakatwa, iweje leo hii hii benki iende kila baada ya miezi kadhaa ichukue Takriban shilingi 7999 pesa za mwananchi?.

Isitoshe ndugu Gavana, kila mwezi sisi wenye account tunakatwa malipo ya kuwa na account zetu!

Ndugu Gavana hii siyo haki, ni dhulma ya waziwazi kwa wateja ambao majority ni sisi wananchi!

Ndugu Gavana, hata kama CRDB wana pressure ya kumaintain mapato ya benki yao lakini isiwe at the expense yetu sisi kutugeuza mbuzi wa kutukamua kwa huduma ambazo ni za kawaida kabisa kwa mabenki yote duniani. Sasa utajiitaje benki wakati hata huduma za kibenki unawaza kukamua watu?.

Ndugu Gavana, Sisi tunatunza pesa zetu kwenye hizi benki, wanazifanyia biashara, wanapata faida kubwa, bado tunakatwa kwenye miamala ya ATM na bado tunakatwa pesa za kumaintain account zetu kila mwezi. Sasa haya makato mengine ya nini?

Ndugu Gavana, BOT ni mdau wa uchumi wa nchi, kama haya mabenki yanakwangua savings zetu wananchi tunashindwa kujitoa katika lindi la umasikini na hivyo kukwamisha juhudi za serikali na BOT kunyanyua uchumi wa nchi na wananchi.

Nakuomba mheshimiwa Gavana utusaidie kutuondolea kero hii.

Wako katika ujenzi wa Taifa

Missile of The Nation ( Kombora la Taifa)
 
Nataka waache huo mchezo wao, wakilazimisha basi naondoka nawaachia pango lao la unyang'anyi!
Jamani tuache kulusha vitu vya hatari kwenye mitandao,tukumbuke Benji zinaaksi uchumi was nchi,ajira na maendeleo ya watu. Hebu nikuulize umeanza kukatwa lini hizo card fee? He umewahi kuchukua jedwali za gharama za benki? He umewahi kulinganisha gharama za benki nyingine au mitandao ya simu. Mimi nakuona una nia ya kuichafua CRDB tu.kama in makato hata kwenye mitandao ya simu yapo na hats Benki zingine
 
Uko sahihi. Hajafanya utafiti na hana taarifa sahihi. Pengine CRDB ni cheap ukilinganisha na Benki zingine.
 
Huyu ni kiaza tu, hajui kitu kuhusu uedeshaji wa benki wala majukumu ya central bank ku-regulate benki na taasisi za fedha nyingine.
 
Mimi namshangaa kutoa hoja ambayo inaweza kufanya watu wakaacha kutumia benki bila kufanya utafiti wa kutosha.kwanza hautwambia Hiyo card fee unalipaje? Kwa mwezi,kwa mwaka au kwa muamala? Ili tuweze kulinganisha vizuri
 
Tulieni Gavana alifanyie kazi suala hili, hoja hapa ni makato doubledouble, haiwezekani nikatwe gharama za kila nikitoa pesa kwenye ATM, nitozwe pesa ya kuwa na account kisha nitozwe pesa eti ya kumiliki kadi, huu ni uendawazimu!

Halafu nyinyi ma uncle Tom, watu wa hewala baba kwa kila kitu jueni kuwa hizi ni zama mpya za watu kuhoji kila senti yao inavyotumika, haiwezekani tupate hela kwa shida halafu watu wakae wajiwekee makato makubwamakubwa!

Kitu kingine katika nchi zinazojitambua ukiongeza bei ya mkate hata kwa shilingi bila sababu za msingi watu hawakuelewi, lakini leo hii hii benki inakwangua BUKU SABA MIA TISA TISINI NA TISA halafu unasema tutulie tu?. No way kama nyinyi mmekubali au mnazo nyingi basi poa, lakini sisi wengine tunataka Gavana atumie mamlaka yake ya kusimamia mabenki ili makato yawe na mashiko siyo kukamua watu tu.

Mwisho, kuna lawama nyingi zimeshaletwa na wananchi humu JF kuhusu hii benki, kwa hiyo ni wajibu sasa ijitathmini na ijirekebishe, haiwezi kuja na schemes za kukamua wateja tu ili iweze kuwa afloat.

Mimi kama raia wa nchi ambayo serikali ina hisa katika hiyo benki nina haki ya kutoa maoni juu ya hiyo benki, na kwa hiyo namuomba Gavana awaulize haya makato yote haya ya nini?
 
Salaam ndugu Gavana,

Pole sana na majukumu nyeti unayoendelea nayo ya ujenzi wa Taifa.

Ama baada ya salamu , nimeona nikuandikie barua ili mimi kama raia kukueleza sintofahamu inayoendelea katika mabenki yetu hapa nchini hususan benki hii ya CRDB.

Ndugu Gavana hii benki imekuwa na makato makubwa, yasiyo na maana, makato yaliyojikita katika wao kumaximize profit at the expense ya sisi wananchi.

Mheshimiwa Gavana, ili Taifa letu liendelee linahitaji jamii iliyoridhia kutumia mifumo rasmi ya utunzaji wa fedha ili kwayo serikali iweze kumonitor ipasavyo kila senti inayoingia na kutoka katika mzunguuko. Kwa bahati mbaya baadhi ya benki zinakwamisha jambo hili kwa kuweka makato makubwa tena kwenye huduma ambazo kimsingi ni za kawaida kabisa kwa mteja hali inayoufanya umma uone ni hasara kuweka pesa benki.

Mheshimiwa Gavana, CRDB wana haya makato yanaitwa Card fee, Wanakata takriban shilingi 7999 kwenye account ya mtu, Wanajichukulia tu fedha za wateja kila baada ya miezi kadhaa kwa hoja eti wanalipia card!. Haya ni maajabu makubwa!

Mheshimiwa Gavana, bila shaka unatambua kuwa kila mteja afanyapo muamala kupitia ATM kuna pesa ya muamala anakatwa, iweje leo hii hii benki iende kila baada ya miezi kadhaa ichukue Takriban shilingi 7999 pesa za mwananchi?.

Isitoshe ndugu Gavana, kila mwezi sisi wenye account tunakatwa malipo ya kuwa na account zetu!

Ndugu Gavana hii siyo haki, ni dhulma ya waziwazi kwa wateja ambao majority ni sisi wananchi!

Ndugu Gavana, hata kama CRDB wana pressure ya kumaintain mapato ya benki yao lakini isiwe at the expense yetu sisi kutugeuza mbuzi wa kutukamua kwa huduma ambazo ni za kawaida kabisa kwa mabenki yote duniani. Sasa utajiitaje benki wakati hata huduma za kibenki unawaza kukamua watu?.

Ndugu Gavana, Sisi tunatunza pesa zetu kwenye hizi benki, wanazifanyia biashara, wanapata faida kubwa, bado tunakatwa kwenye miamala ya ATM na bado tunakatwa pesa za kumaintain account zetu kila mwezi. Sasa haya makato mengine ya nini?

Ndugu Gavana, BOT ni mdau wa uchumi wa nchi, kama haya mabenki yanakwangua savings zetu wananchi tunashindwa kujitoa katika lindi la umasikini na hivyo kukwamisha juhudi za serikali na BOT kunyanyua uchumi wa nchi na wananchi.

Nakuomba mheshimiwa Gavana utusaidie kutuondolea kero hii.

Wako katika ujenzi wa Taifa

Missile of The Nation ( Kombora la Taifa)
Kwa dunia hii na mabank yote yaliyopo bado unalalamikia huduma za kibank???

Hama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhama nitahama ofcourse iwapo wakiendelea na ishu zao hizi za ajabu ajabu, ila ni muhimu sana kumueleza Gavana feelings zetu ili ikibidi kuwapiga Stop ili benki nyingine nazo kama zinafanya mambo ya ajabu kama haya ziache au zisiyafanye!
 
Tulieni Gavana alifanyie kazi suala hili, hoja hapa ni makato doubledouble, haiwezekani nikatwe gharama za kila nikitoa pesa kwenye ATM, nitozwe pesa ya kuwa na account kisha nitozwe pesa eti ya kumiliki kadi, huu ni uendawazimu!

Halafu nyinyi ma uncle Tom, watu wa hewala baba kwa kila kitu jueni kuwa hizi ni zama mpya za watu kuhoji kila senti yao inavyotumika, haiwezekani tupate hela kwa shida halafu watu wakae wajiwekee makato makubwamakubwa!

Kitu kingine katika nchi zinazojitambua ukiongeza bei ya mkate hata kwa shilingi bila sababu za msingi watu hawakuelewi, lakini leo hii hii benki inakwangua BUKU SABA MIA TISA TISINI NA TISA halafu unasema tutulie tu?. No way kama nyinyi mmekubali au mnazo nyingi basi poa, lakini sisi wengine tunataka Gavana atumie mamlaka yake ya kusimamia mabenki ili makato yawe na mashiko siyo kukamua watu tu.

Mwisho, kuna lawama nyingi zimeshaletwa na wananchi humu JF kuhusu hii benki, kwa hiyo ni wajibu sasa ijitathmini na ijirekebishe, haiwezi kuja na schemes za kukamua wateja tu ili iweze kuwa afloat.

Mimi kama raia wa nchi ambayo serikali ina hisa katika hiyo benki nina haki ya kutoa maoni juu ya hiyo benki, na kwa hiyo namuomba Gavana awaulize haya makato yote haya ya nini?
Kama ulitaka govana ajibu pasipo sisi kuhusika umeileta huu Uzi JF kwa kusudi lipi? Ndio maana tunasema nia yako ni kuichafua CRDB tu. Wenda umetumwa wewe
 
Sijawakataza kuweka maoni yenu, tena nafurahia maoni kwenye hii mada kwa sababu yanatoa perspective jamii inayachukuliaje haya makato juu ya makato.

Ila ambacho kimenishangaza kidogo ni nyinyi kunishambulia binafsi wakati mimi binafsi naamini kwa dhati kuwa ni muhimu kwa benki kuu kuregulate makato ya aina hii ambayo mimi binafsi naamini ni makubwa sana na ni doubledouble.

Isitoshe Katiba ibara ya 18(a) na (b) ina sema kila mtu ana freedom ya kutoa maoni yake na pia kuwa na conscious. Kwa hiyo nimemuandikia Gavana kwa mujibu wa Ibara hii ili aone kuwa nimechefukwa na alifanyie kazi.

Ila kama wewe umeridhika na haya makato basi poa haina shida, ila mimi mvuja jasho buku moja kwangu linamatter huwezi kulikwangua kiholelaholela tu kwenye account yangu nisipige kelele!
 
Ningeheshimu hoja yako hii kama hizo hoja zingetolewa na verified member lakini kwa wewe unayejificha kwa Ids fake unaweza ukawa ni MTU mmoja tu mwenye id tatu

Hata wewe unayepinga hii mada una Id fake, huenda hata wewe ndiye Mkurugenzi mwenyewe wa CRDB unatetea benki yako!

Tuachane na mambo ya ID, ID ni alias tu ila cha msingi ni taarifa/hoja/mawazo/maoni etc

Nimetoa maoni yangu

Unayo haki na wewe kuandika mada kupongeza makato ya CRDB kama unayapenda, ila mimi binafsi naona kama ni ukwapuaji!
 
Salaam ndugu Gavana,

Pole sana na majukumu nyeti unayoendelea nayo ya ujenzi wa Taifa.

Ama baada ya salamu , nimeona nikuandikie barua ili mimi kama raia kukueleza sintofahamu inayoendelea katika mabenki yetu hapa nchini hususan benki hii ya CRDB.

Ndugu Gavana hii benki imekuwa na makato makubwa, yasiyo na maana, makato yaliyojikita katika wao kumaximize profit at the expense ya sisi wananchi.

Mheshimiwa Gavana, ili Taifa letu liendelee linahitaji jamii iliyoridhia kutumia mifumo rasmi ya utunzaji wa fedha ili kwayo serikali iweze kumonitor ipasavyo kila senti inayoingia na kutoka katika mzunguuko. Kwa bahati mbaya baadhi ya benki zinakwamisha jambo hili kwa kuweka makato makubwa tena kwenye huduma ambazo kimsingi ni za kawaida kabisa kwa mteja hali inayoufanya umma uone ni hasara kuweka pesa benki.

Mheshimiwa Gavana, CRDB wana haya makato yanaitwa Card fee, Wanakata takriban shilingi 7999 kwenye account ya mtu, Wanajichukulia tu fedha za wateja kila baada ya miezi kadhaa kwa hoja eti wanalipia card!. Haya ni maajabu makubwa!

Mheshimiwa Gavana, bila shaka unatambua kuwa kila mteja afanyapo muamala kupitia ATM kuna pesa ya muamala anakatwa, iweje leo hii hii benki iende kila baada ya miezi kadhaa ichukue Takriban shilingi 7999 pesa za mwananchi?.

Isitoshe ndugu Gavana, kila mwezi sisi wenye account tunakatwa malipo ya kuwa na account zetu!

Ndugu Gavana hii siyo haki, ni dhulma ya waziwazi kwa wateja ambao majority ni sisi wananchi!

Ndugu Gavana, hata kama CRDB wana pressure ya kumaintain mapato ya benki yao lakini isiwe at the expense yetu sisi kutugeuza mbuzi wa kutukamua kwa huduma ambazo ni za kawaida kabisa kwa mabenki yote duniani. Sasa utajiitaje benki wakati hata huduma za kibenki unawaza kukamua watu?.

Ndugu Gavana, Sisi tunatunza pesa zetu kwenye hizi benki, wanazifanyia biashara, wanapata faida kubwa, bado tunakatwa kwenye miamala ya ATM na bado tunakatwa pesa za kumaintain account zetu kila mwezi. Sasa haya makato mengine ya nini?

Ndugu Gavana, BOT ni mdau wa uchumi wa nchi, kama haya mabenki yanakwangua savings zetu wananchi tunashindwa kujitoa katika lindi la umasikini na hivyo kukwamisha juhudi za serikali na BOT kunyanyua uchumi wa nchi na wananchi.

Nakuomba mheshimiwa Gavana utusaidie kutuondolea kero hii.

Wako katika ujenzi wa Taifa

Missile of The Nation ( Kombora la Taifa)
Banks zipo nyingi brother kuna NMB, ACB, KCB, NBC, CBA, EXIM, Stanbic, BARODA, BOA, UBA etc achana na CRDB kwisha- jifanye km unajikuna
 
Unakumbuka wakati unafungua account ni document gani ulisign na zilikuwa sinaeleza nini?

Nashindwa kuelewa Market Forces za Demand and Supply zinakwama wapi kipindi hiki mpaka mleta mada utake B.O.T iingilie kati. CRDB siyo monopoly, wakifanya vibaya wanaadhibiwa na market forces. B.O.T ina mipaka yake katika kufanya regulation.
Leo wewe hiyo pesa unayokatwa unaona ni kubwa sana. B.O.T lets assume ikakusikiliza, kesho tena anakuja mwingine anasema bado ni kubwa, Na keshokutwa mwingine, asiposikilizwa atahoji mbona wengine walisikilizwa?

Mimi nafikiri tuacheni Market forces zifanye kazi yake, B.O.T iweke tu standards kwa kuangalia impact kwenye uchumi. Ikipunguza kama unavyotaka isiwe kwa sababu ulitaka bali ni kwa sababu kuna tatizo kiuchumi(Macro impact) linalotokana na hizo gharama.
By the way Financial institutions zina substitute nyingi sana.

Ushauri: B.O.T haifanyi kazi kwa kuangalia malalamiko ya mtu mmoja mmoja. Inaangalia tatizo kwa picha kubwa na kwa utofauti. Ulichokifanya ni sawa na mtu achapwe na mama yake halafu aruke ngazi zote, amwandikie barua Rais.
Nenda kwenye ofisi za Bank yako, Uliza uwezekano wa kupunguziwa gharama za uendeshaji au kama kuna account maalumu yenye gharama za chini, Ukiona product zao hazifai Andika barua funga hiyo account, Anza kuweka pesa kwenye mobile financial services huku ukifanya utafiti ni benki gani yenye unafuu uhamie huko. Ukiona gharama za benki zote zipo juu, fanya utafiti juu ya uwezo wa Watanzania kumudu hizi gharama na matokeo yake kiuchumi endapo zitashushwa, ripoti yako kaiwasilishe kwa mkuu wa mkoa au mbunge wako, unaweza pia ukaileta humu watu tukaitolea maoni na kuiongezea nyama. Ulichokifanya hapa ni hatari endapo CRDB ikiamua kukushughulikia.(Japokuwa ni too immaterial kwao)
 
Tulieni Gavana alifanyie kazi suala hili, hoja hapa ni makato doubledouble, haiwezekani nikatwe gharama za kila nikitoa pesa kwenye ATM, nitozwe pesa ya kuwa na account kisha nitozwe pesa eti ya kumiliki kadi, huu ni uendawazimu!

Halafu nyinyi ma uncle Tom, watu wa hewala baba kwa kila kitu jueni kuwa hizi ni zama mpya za watu kuhoji kila senti yao inavyotumika, haiwezekani tupate hela kwa shida halafu watu wakae wajiwekee makato makubwamakubwa!

Kitu kingine katika nchi zinazojitambua ukiongeza bei ya mkate hata kwa shilingi bila sababu za msingi watu hawakuelewi, lakini leo hii hii benki inakwangua BUKU SABA MIA TISA TISINI NA TISA halafu unasema tutulie tu?. No way kama nyinyi mmekubali au mnazo nyingi basi poa, lakini sisi wengine tunataka Gavana atumie mamlaka yake ya kusimamia mabenki ili makato yawe na mashiko siyo kukamua watu tu.

Mwisho, kuna lawama nyingi zimeshaletwa na wananchi humu JF kuhusu hii benki, kwa hiyo ni wajibu sasa ijitathmini na ijirekebishe, haiwezi kuja na schemes za kukamua wateja tu ili iweze kuwa afloat.

Mimi kama raia wa nchi ambayo serikali ina hisa katika hiyo benki nina haki ya kutoa maoni juu ya hiyo benki, na kwa hiyo namuomba Gavana awaulize haya makato yote haya ya nini?
Kuna mdau aliweka hapa email(attachment) ya maelezo aliyojibiwa na CRDB ya kwanini akatwe hio elfu 7 na usheee,wakamjibu kwamba hio ni card fee na nadhani kama niko sahihi walisema wanakata kila baada ya miezi 6.

So uko sahihi khs hayo makato mkuu.
 
Naona aliye andika hajui benki zinaendeshwaje .Makato mengi ya benki mbali mbali,mitandao yamewekewa kodi ya serikali siyo yote makato unayotoswa yanachukuliwa na benki mengine yanachukuliwa na serikali.Wabunge wa Uganda walilalamikia tozo iliyokuwa serikali ya nchi ilataka iweeke kwenye mihamala ya kampuni za simu na benki ilibidi waipunguze hili wateja/wananchi wapate afueni
 
Back
Top Bottom