WanaJF,
Siungi mkono kuongezeka kwa bei ya umeme lakini pia siungi mkono uonevu uliofanywa kwa Mhandisi Mramba.
Watanzania, kushangilia kutumbuliwa kwa Mtanzania mwenzako haina maana kuwa maisha yako yatapata unafuu kwa namna yoyote ile!
Hivyo basi ni vyema ukatumia kipindi kifupi cha maisha yako uliyobakiza Duniani walau kusimamia haki na kupinga uonevu unaofanyika dhidi ya Wanadamu wenzetu hapa nchini.
Jisomee barua kisha usikilize maneno ya Muhongo kuwa hakuwa na taarifa kuhusu nia ya TANESCO kupandisha gharama za umeme ilhali barua ilitumwa wizarani kwake tangu mwezi Septemba 2016.