Barua ya mapenzi

Barua ya mapenzi

Ha ha ha ha haaaaa acha nikalale maana mbavu zinuma sana, inawezwkana zimevunjika. Kiongo umeitoa wapi Hi Barua
 
Nzuri...hayo maneno hayajachakachuliwa kama ya siku hizi!
 
hii barua inanikumbusha mbali sana.nilimuandikia mwanafunzi wa kike akaipeleka kwa mwalimu ikasomwa mbele ya wanafunzi baada ya kengere kugongwa.baada ya kusomwa nikapigwa viboko sita.nakumbuka nilikua nmevaa kaptula ya blue.na ndani nlikua sijajaradia wala nini.duh! ni noma sana.mia
 
Back
Top Bottom