Keyboards haiwezi kuficha ujuha wa mtu...kwa mfano kwenye ukaguzi ukisikia halmashauri fulani imepewa hati chafu haina maana imeandikwa kwa mguu...kuna mtu anaweza kukutext ukashangaa alitumia nini kuwaza kabla hajaminya button za simu yake!Hizi key boards sikuhizi zinastiri sana.
Key boards nyingine zina spelling facilities, neno fiesta lingeweza kurekebishwa.Keyboards haiwezi kuficha ujuha wa mtu...kwa mfano kwenye ukaguzi ukisikia halmashauri fulani imepewa hati chafu haina maana imeandikwa kwa mguu...kuna mtu anaweza kukutext ukashangaa alitumia nini kuwaza kabla hajaminya button za simu yake!
Key boards nyingine zina spelling facilities, neno fiesta lingeweza kurekebishwa.