Barua ya Malcom X: Huko Makka Saudi Arabia


Kuongezea Quran inasema mtu bora kabisa mbrle ya mwenyezimungu ni yule mchamungu.

Superiority mbele za Mungu ina rank kwa level yako ya uchamungu na sio rangi yako
 
Hamna kitu kama hichoo kwenye uislam ndo maana mekwambia unaandika na kuamini usivovijuaa mzee. Usijiokotee kila kituu na kukiamini
Ubishi na kujilipua ni jadi yenu, ndyo maana hata Quran inasema Allah na Malaika zake wanaswali kwa Mtume
 
Hujui hata kiarabu unajiaibisha tu hapa, na Hio screenshot ya Quora mbona umeweka kichwa cha habari tu? Nina uhakika Kuna jibu hapo chini umelificha.

Wamisionary wengi wa kikristo mmekosa hoja mmbekani na hayo sijui ubishi sijui kujilipua na Hoja ambazo sio intellectual. Mnaendelea hivyo kila siku makanisa yanafungwa huko ulaya yanageuzwa misikiti. Mmebakia kashfa na vijembe hoja hakuna.

Rudini kusoma dini yenu vijembe havitawapeleka popote.
 
 
We hujawaelewa tu hao, wanamwita muhuni kwasbabu tu alikua muislam. Hao watu, kitu chcht kikiwa tu na uhusiano na uislam ndani yake basi kwao ni kibaya na wanakichukia mara moja. Na hata kama ni kweli wataiona uongo, chuki zao ni kubwa mno.
Upo sahii sahii mkuu,ila ni pia hata waislamu kitu chochote kinachousiana na ukrsto watadai uongo,pia chuki yao ni kubwa mno
 
Hivyo ni vitabu vya kufikirika mkuu,adithi na mapokeo ya simulizi za waarabu,waajemi,wayahudi and ect........Ni story kama story zingine mkuu
 
Kuongezea Quran inasema mtu bora kabisa mbrle ya mwenyezimungu ni yule mchamungu.

Superiority mbele za Mungu ina rank kwa level yako ya uchamungu na sio rangi yako
Kakae na waaarabu afu wewe ni zanji,ndio utajua mtu bora ni yupi mkuu???
 

Acha mazoea ya kuandika mkuu
 
Pengine hata hujaelewa mkuu ,, angekuwa mpumbavu wala usinge muona akiambatana na Martin muda mwingi hao wote lao lilikuwa moja ...sina mashaka juu ya Malcom hata siku moja

Sera za malcom and luther hazikuendana. malcom alikuwa muhuni
 
Watumwa kutoka Africa waliopelekwa uarabuni waliishia wapi? Mbona katika mataifa ya kiarabu hakuna kizazi cha watu weusi ambacho kinatokana na watumwa waliopelekwa huko enzi za biashara ya utumwa?
Kwamba unataka kukataa waarabu hawakuhusika kwenye biashara ya watumwa?
Umewahi kwenda Bagamoyo Peani, Kilwa na Mikindani Mtwara ukaziona slave markets walizojenga waarabu?

BTW, wazungu na wahindi ni wabaguzi sana kuliko waarabu.
 
Huyu jamaa Malcolm X me namwona km snitch Anazungumzia ubaguzi wa amerca hakujua zaidi ubaguzi unaofanywa na haya majibwa ya kiarabu asingethubutu kamwe kuandika waraka wake wenye muono wa namna hiyo anyway ndio maana wa marekani walimpasua bichwa lake mapema maana wapuzi km hawa huwahawachelewi kujitoa mhanga
 
Malcom X alikuwa ni mtu bora sana. Kila mtu mweusi anapaswa kumsoma Malcom X. Amemfundisha mtu mweusi kujipenda. Karibuni tafsiri ya kiswahili ya Outobiography yake itapatikana.
 
Malcom alizingua,eti manniga tuvae magauni ya kiume kama waarabu na wayahudi na tuache tamaduni za babu zetu tuufuate uarabu

Haswaaaa kama aliyoyavaa bwana Yesu na maaskofu wenu na papaaaa na viongozi wenu wa mgazi za juuu . Mdo yalikua mavazi ya mitume
 
Ubishi na kujilipua ni jadi yenu, ndyo maana hata Quran inasema Allah na Malaika zake wanaswali kwa Mtume

Mtu mzima unakosa baada ya kujibiwa hoja yako unaanza kuongea utopoloo [emoji3][emoji3]
Ndo kawaida yenuu lakiniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…