BARUA YA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI

FRUIT TREE

JF-Expert Member
Jun 7, 2018
698
819
Habari za muda huu wanajukwaa?

Moja kwa moja kwenye mada:-

Nina rafiki yangu yeye ni mtumishi wa umma ana mpango wa kuandika tangazo la kutafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi wilaya nyingine.
Anaomba kufahamishwa namna ya kuandika tangazo(hints) na tangazo hilo lipitie wapi kabla ya kwenda kubandikwa halmashauri anayotegemea kuhamia.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom