Barua ya Kazi Uhamiaji

Barua ya Kazi Uhamiaji

Wadau napenda kuuliza barua za kazi kwa hawa jamaa wa uhamiaji tunatumia lugha gani sababu tangazo lao naona lipo kwa lugha ya kiswahili.

Je nikiandika kwa lugha ya kiingereza inaweza kuwa na shida.?

Natanguliza shukrani zangu
 
Back
Top Bottom