nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,935
- Thread starter
- #41
Wewe chama chako?Kwenda zako chama sio chako kina wenyewe

B/S tupuSaalam ndugu yangu Lissu,
Mimi Mtanzania niliyekuwa na imani na vyam vya upinzani na viongozi wa juu leo hii nimevunjika moyo sana.
Nimetambua kuwa kumbe viongozi wengi wa upinzani ni njaa tupu na siyo viongozi wa kuwakomboa Watanzania na mkoloni wa ndani.
Hivyo basi, mimi ninaimani na wewe tu kuwa utalikomboa taifa hili na hili shatani kubwa CCM.
Ili mbegu iote lazima itangulie kufa, ni wewe ndiye uliyemwagwa damu kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii, maana hakuna ukombozi pasipo kumwaga damu.
Kwa uchungu uleule uliokupata miaka 3 kitandani nakuomba uwashawishi hao wazungu waje watukomboe maana huku hatuna upinzani wala viongozi wenye uchungu kwa mateso tunayopata watanzania.
Leo hii ninaamini mioyo ya wapenda mabadiriko,wapenda haki na maendeleo ya watu mioyo yao inalia na inavuja damu.
Kitendo cha hawa wamama wa BAWACHA kujipeka bungeni kimeua imani zetu.
NAKUOMBA UBAKI HUKOHUKO UWAOMBE HAO WAZUNGU WATUKOMBOLEE TAIFA LETU
Asante
sijapata kuona akili za usiku kama wewe.Saalam ndugu yangu Lissu,

Biblia inasema Mwenyezi Mungu aliahidi hataua tena kwa gharika. Haya magharika mengine yatakuwa ya shetani. Ni ya kukemewa.Kila nafsi itaonja mauti,kumbuka sodoma ziwaka moto wote wakateketea
Kumbuka gharika ya Nuhu walikufa wote.
HAITAKUWA MBAYA KWETU
KWANI MNAFIKIRI UGAIDI ULIANZAJE NA LENGO LAKE NI NINI?
Angefurukuta kidogo kwenye maandamano yaliyoitishwa juzikati tungemuelewa.Yaani mdee kapigwa virungu, kavuja damu, kalala selo, makesi kibao sababu ya chadema eti leo wewe una machungu na chadema zaidi ya mdee..
Nigger please!
Unakufuru. Waweza poteza hata ulichonacho.Naombea sana hao jamaa waje, maisha yenyewe tunayoishi tayari ni Libya part 2 .Does the future hold anything for us? Nothing. Bora waje tu ili kama mbwai na iwe mbwai.
Kwa hiyo haki zetu tuzipate tukishakufa. Yaani yale masanduku na mashada.hawa wanasiasa mizunguo solution saivi ni kuingia msituni al shabab waaingie tuu..hatuwezi kudhulumiwa haki zetu na wahuni wachache tu akati nchi ni yetu wote
Na iwe hivyo, hii hali ni mbaya kushinda Libya. Truly speaking.Mkuu kaa uandike tena
wakija hao jamaa ni Libya part 2
Mwenyezi Mungu hadhihakiwi. Kakupa amani na uzima unadhihaki.Na sijui Shaabab, Boko na IS wanashindwa nini kutia timu hapa? Mbona members watapata wa kutosha tu!
Hapo umenena mkuu. Watu wajiulize tu alivyopinga makanikia kupelekwa nje na kusema ni wizi wa mchana. Hata kuandika aliandika na kutoa data. Lakini alipofika bei kwa wazungu hakuna mtetezi wao kama yeye. Mara makanikia ni mali yao. Mara waTZ tutanyolewa kwa chupa bila maji. Bei ya Lissu ilifikiwa. Mara ajitolee kuwatetea ACACIA bure kisa JPM kakamata makanikia yao. Leo eti Lissu ni mtetezi wa TZ. Lissu yupi? Tanzania ipi?Hakuna mtu mwepesi kama Tundu Lisu kwanza bora hata hao akina Mdee, huyo Tundu sema CCM tu hawana shida naye wala hawamuhitaji lkn ni mwepesi kama unyoya, akiahidiwa kacheo tu kesho hautamsikia tena.
Wakati ufike muache kuwekeza kwa binadamu msiowajua, ...
Uko sahihi kabisa. Watu wakiumwa hutafuta dawa. Ukiona kimya maanake maumivu yanavumilika au hakuna.TL anapoteza mda tu kuhangaika na wabongoila kama anahangaikia maslahi yake binafsi kwa mgongo wa wananchi ni sawa.Pointi yangu hapa ni kwamba ni heri aache hizo mambo afanye yake kuhangaikia watu wasiojitamua au ambao hawaoni kama unawapigania ni ujinga.
Kila mtu afanye yake maumivu yakizidi atakeumia atafute dawa yake
Uumini wake ni kosa au kikwazo?Umefurahi sana muumini wa kikatoliki?
Aisee!Naombea sana hao jamaa waje, maisha yenyewe tunayoishi tayari ni Libya part 2 .Does the future hold anything for us? Nothing. Bora waje tu ili kama mbwai na iwe mbwai.
Haya usalama wa Taifa uchwara umemaliza kaI yako ya Leo kapokee chako. Waache wenye chama chao waendelee.Saalam ndugu yangu Lissu,
Mimi Mtanzania niliyekuwa na imani na vyam vya upinzani na viongozi wa juu leo hii nimevunjika moyo sana.
Nimetambua kuwa kumbe viongozi wengi wa upinzani ni njaa tupu na siyo viongozi wa kuwakomboa Watanzania na mkoloni wa ndani.
Hivyo basi, mimi ninaimani na wewe tu kuwa utalikomboa taifa hili na hili shatani kubwa CCM.
Ili mbegu iote lazima itangulie kufa, ni wewe ndiye uliyemwagwa damu kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii, maana hakuna ukombozi pasipo kumwaga damu.
Kwa uchungu uleule uliokupata miaka 3 kitandani nakuomba uwashawishi hao wazungu waje watukomboe maana huku hatuna upinzani wala viongozi wenye uchungu kwa mateso tunayopata watanzania.
Leo hii ninaamini mioyo ya wapenda mabadiriko,wapenda haki na maendeleo ya watu mioyo yao inalia na inavuja damu.
Kitendo cha hawa wamama wa BAWACHA kujipeka bungeni kimeua imani zetu.
NAKUOMBA UBAKI HUKOHUKO UWAOMBE HAO WAZUNGU WATUKOMBOLEE TAIFA LETU
Asante
Siku zote waafirika hujiua wenyewe kwa matendo mabaya ya viongoziMkuu kaa uandike tena
wakija hao jamaa ni Libya part 2
Sasa sikia hii, hao wazungu unaowazungumzia kawaite waje hata saivi, hawataweza kufanya lolote. Kama tu wabunge wenu wamewasaliti basi hata wazungu wanaenda kuwasaliti. Siku zenu zinahesabika. Katika Jina la Yesu kuanzia leo nawafuta kwenye uwanja wa siasa wote ambao hamuitakii mema serikali ya Tanzania. Katika Jina la Yesu naaamuru Jamii nzima ya Tanzania na wazungu wawasahau. Amen.Saalam ndugu yangu Lissu,