Barua ya haraka kwa Tundu Lissu

Barua ya haraka kwa Tundu Lissu

Hakuna mtu mwepesi kama Tundu Lisu kwanza bora hata hao akina Mdee, huyo Tundu sema CCM tu hawana shida naye wala hawamuhitaji lkn ni mwepesi kama unyoya, akiahidiwa kacheo tu kesho hautamsikia tena.

Wakati ufike muache kuwekeza kwa binadamu msiowajua, ...
Mwenyekiti wko alimuhaidi kule singida alipoiona nguvu ya kutisha. Mbona hakukubali?
 
Saalam ndugu yangu Lissu,

Mimi Mtanzania niliyekuwa na imani na vyam vya upinzani na viongozi wa juu leo hii nimevunjika moyo sana.

Nimetambua kuwa kumbe viongozi wengi wa upinzani ni njaa tupu na siyo viongozi wa kuwakomboa Watanzania na mkoloni wa ndani.

Hivyo basi, mimi ninaimani na wewe tu kuwa utalikomboa taifa hili na hili shatani kubwa CCM.

Ili mbegu iote lazima itangulie kufa, ni wewe ndiye uliyemwagwa damu kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii, maana hakuna ukombozi pasipo kumwaga damu.

Kwa uchungu uleule uliokupata miaka 3 kitandani nakuomba uwashawishi hao wazungu waje watukomboe maana huku hatuna upinzani wala viongozi wenye uchungu kwa mateso tunayopata watanzania.

Leo hii ninaamini mioyo ya wapenda mabadiriko,wapenda haki na maendeleo ya watu mioyo yao inalia na inavuja damu.

Kitendo cha hawa wamama wa Bavicha kujipeka bungeni kimeua imani zetu.

NAKUOMBA UBAKI HUKOHUKO UWAOMBE HAO WAZUNGU WATUKOMBOLEE TAIFA LETU
Asante
Lissu nae ana njaa ndio maana yuko bize kulamba miguu ya mabeberu. Ana shea yake.
Mdee na bulaya kuwa manaibu mawaziri
 
Mkuu kaa uandike tena
wakija hao jamaa ni Libya part 2
Naombea sana hao jamaa waje, maisha yenyewe tunayoishi tayari ni Libya part 2 .Does the future hold anything for us? Nothing. Bora waje tu ili kama mbwai na iwe mbwai.
 
Saalam ndugu yangu Lissu,

Mimi Mtanzania niliyekuwa na imani na vyam vya upinzani na viongozi wa juu leo hii nimevunjika moyo sana.

Nimetambua kuwa kumbe viongozi wengi wa upinzani ni njaa tupu na siyo viongozi wa kuwakomboa Watanzania na mkoloni wa ndani.

Hivyo basi, mimi ninaimani na wewe tu kuwa utalikomboa taifa hili na hili shatani kubwa CCM.

Ili mbegu iote lazima itangulie kufa, ni wewe ndiye uliyemwagwa damu kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii, maana hakuna ukombozi pasipo kumwaga damu.

Kwa uchungu uleule uliokupata miaka 3 kitandani nakuomba uwashawishi hao wazungu waje watukomboe maana huku hatuna upinzani wala viongozi wenye uchungu kwa mateso tunayopata watanzania.

Leo hii ninaamini mioyo ya wapenda mabadiriko,wapenda haki na maendeleo ya watu mioyo yao inalia na inavuja damu.

Kitendo cha hawa wamama wa Bavicha kujipeka bungeni kimeua imani zetu.

NAKUOMBA UBAKI HUKOHUKO UWAOMBE HAO WAZUNGU WATUKOMBOLEE TAIFA LETU
Asante
Yaani mdee kapigwa virungu, kavuja damu, kalala selo, makesi kibao sababu ya chadema eti leo wewe una machungu na chadema zaidi ya mdee..
Nigger please!
 
Aje na mabeberu 😂😂😂
 
Naombea sana hao jamaa waje, maisha yenyewe tunayoishi tayari ni Libya part 2 .Does the future hold anything for us? Nothing. Bora waje tu ili kama mbwai na iwe mbwai.
hawa wanasiasa mizunguo solution saivi ni kuingia msituni al shabab waaingie tuu..hatuwezi kudhulumiwa haki zetu na wahuni wachache tu akati nchi ni yetu wote
 
Utakaa hivyo hivyo wala hautaona mzungu anapoteza mali zake kuja kukukomboa wewe.
 
Saalam ndugu yangu Lissu,

Mimi Mtanzania niliyekuwa na imani na vyam vya upinzani na viongozi wa juu leo hii nimevunjika moyo sana.

Nimetambua kuwa kumbe viongozi wengi wa upinzani ni njaa tupu na siyo viongozi wa kuwakomboa Watanzania na mkoloni wa ndani.

Hivyo basi, mimi ninaimani na wewe tu kuwa utalikomboa taifa hili na hili shatani kubwa CCM.

Ili mbegu iote lazima itangulie kufa, ni wewe ndiye uliyemwagwa damu kwa ajili ya ukombozi wa nchi hii, maana hakuna ukombozi pasipo kumwaga damu.

Kwa uchungu uleule uliokupata miaka 3 kitandani nakuomba uwashawishi hao wazungu waje watukomboe maana huku hatuna upinzani wala viongozi wenye uchungu kwa mateso tunayopata watanzania.

Leo hii ninaamini mioyo ya wapenda mabadiriko,wapenda haki na maendeleo ya watu mioyo yao inalia na inavuja damu.

Kitendo cha hawa wamama wa BAWACHA kujipeka bungeni kimeua imani zetu.

NAKUOMBA UBAKI HUKOHUKO UWAOMBE HAO WAZUNGU WATUKOMBOLEE TAIFA LETU
Asante
Huyo ndo mchumia tumbo zaidi. Anaweza kukuuza hata wewe
 
hawa wanasiasa mizunguo solution saivi ni kuingia msituni al shabab waaingie tuu..hatuwezi kudhulumiwa haki zetu na wahuni wachache tu akati nchi ni yetu wote
Na sijui Shaabab, Boko na IS wanashindwa nini kutia timu hapa? Mbona members watapata wa kutosha tu!
 
TL anapoteza mda tu kuhangaika na wabongoila kama anahangaikia maslahi yake binafsi kwa mgongo wa wananchi ni sawa.Pointi yangu hapa ni kwamba ni heri aache hizo mambo afanye yake kuhangaikia watu wasiojitamua au ambao hawaoni kama unawapigania ni ujinga.
Kila mtu afanye yake maumivu yakizidi atakeumia atafute dawa yake
 
Yaani mdee kapigwa virungu, kavuja damu, kalala selo, makesi kibao sababu ya chadema eti leo wewe una machungu na chadema zaidi ya mdee..
Nigger please!
Siasa ni imani elewa hivyo
Je wewe waweza mtu anachinja mwanae ukamwacha afe eti mchinjaji ni babaake
We zwazwa
 
Back
Top Bottom