Barua ya George Bush Sr. To Bill Clinton

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,167
8,146
Huwezi kusikia wakizozana baada ya uchaguzi kv kila mgombea hujiandaa kupokea matokeo!

George Bush (Sr.) alikaa madarakani kwa msimu mmoja tu. Hata hivyo, c kwamba aliamua kukaa msimu mmoja peke yake bali mshindani wake Bill Clinton alimpiku kwenye kinyang'anyiro hicho.

Huku akifahamu kuna kushinda na kushindwa, George Bush aliamua kuacha barua White House akimtakia Bill Clinton uongozi mwema:
"You'll be our President when you read this note. I wish you well. I wish your family well."

Si jambo dogo kuachia madaraka Afrika hususani ikiwa madaraka hayo unayaacha mikononi mwa mpinzani wako.

Natamani kuiona siku ambayo chama kilichopo madarakani kitaiacha Ikulu kwa chama kingine kwa amani!
Screenshot_2016-06-15-05-31-49.png


Source: Released by Hilary Clinton
 
Back
Top Bottom