Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 455
- Thread starter
-
- #41
Men you have to mov one with your life. Maana ikiwa kwa mfano ungekuwa umeshafanya mapenzi na yeye ingekuwaje. Usingekuwa unamfeel hata msichana wako utakayekuwa nae. Maisha ni mapito na hayana budi kuwepo ila pambana na hilo then muombe Mungu na mshukuru kwa klililotokea na then muombe akupe mtu atakayeziba pengo la janet then move on brother
Because thats where the animals are (aficans that is).
mkuu Jannet hakuwa sababu ya yeye kupata HIV, hakuwa mwenye stahi ya kupata HIV, ukweli hakuwahi kumjua mwanamme yeyote yule, she left with her virginity, she was strong enough compared with anyone I met, alikuwa mwepesi kujirudi iwapo alikosea, hakupenda kumuudhi mtu mwenye rika lolote lile ingawa kielimu, kimaisha alikuwa juu sana, alijishusha kulingana na mtu alienae, alijiweka kulingana jinsi dunia inavyokwenda...I LOVED HER for all she was...
ooooooh my! janeth was so carin' RIP Janeth! say thanks to GOD she wasnt coward!
Mkuu i understand the pain and hustle u have to go through till now. But life have to go on and we can not let the past ruin our future and we can not live with expectation that the past will come up again. Yes you love her to the maximum and from the bottom of your heart then what next. She is not there now to cherish your love to show you how she loved you and care about you. So men be strong as men and let the past go and dream fro the future
U got the spot men...
Together brother
Hope you gonna be strong to face the reality
Wanyama weusi kama mimi na wewe...bila kumsahau dada yetu Janet popote pale alipo.Lizzy ur answers are too short but clear...we WANYAMAZ kama twigaz, temboz? kweli AFRICANS wanyama...
ashadii ujue wengi wengi tunajua kusema nakupenda lkn kujua jinsi ya kulipenda penzi na kulitunza hilo penzi ndio kazi...Jannet alinisaidia mambo mengi sana ni pamoja na mie kujiona nitatenda dhambi ingawa nitalazimisha kufanya nae tendo la ndoa, Alijua mie sio mtu wa papala na alijua ataweza kuishi na mimi kwa muda mrefu ila mitego yake yote ili kuachana na mimi ilifail na alijua yote hayo....Sikuweza msaliti kwa jinsi yoyote ile, kila nilichojua kitaweza tetelesha mahusiaono yetu nilimueleza kabla yeye kujua, tulishauriana jinsi ya kuepuka uzembe, hiyo ilinifanya kila nimuonapo Jannet niliona kama ndo siku ya kwanza kukutana nae, Jannet baada ya kuondoka afya yake ilizidi kudhorota kila siku, nadhani nia ukosefu wa furaha, nilipokea barua ya pili toka kwake nitaiweka hapa maana kila nikijaribu kuisoma machozi hunitoka hivyo nimeifungia sehemu......
U r welcome brodaAlways strong men...thanks broda...
aaaiiiseee.... Magu sipendi mwanaume wakulia saaana... (na ladies wengi...)
I hope you cry alone...
Nakubaliana na maneno yako... beautiful...
Wanyama weusi kama mimi na wewe...bila kumsahau dada yetu Janet popote pale alipo.
U r welcome broda
Pamoja Sana
karibu kahawa mzee?
I had only cried for tw people in my Life...first was my mom when she passed away...second was my only one Jannet nimesema my only one maana she was special and she still special for me nitamuenzi kama Jannet wangu na sio kama msichana wangu...these two cries ndo mara nyingi huwa zinajirudia tuuu...Sijawahi onwa na mtu niwazapo kuhusu Jannet(I do it for her) maana Love is inside not outside to show...is a burning inside...Only Jannet has to feel my cries otherwise am wrong..
Ya kweli hiyo?
Kuna watu wengine katika maisha yako wanaweza kabisa kukugusa katika namna ambayo hajatokea mtu mwingine kukugusa kiasi hicho. Hivyo kwa maoni yangu hakuna ubaya wowote kuangusha machozi kwa watu hao hata kama hawapo nawe tena katika maisha yako. Hata Wanaume huwa wanalia ni kwa maoni yangu sidhani kama ni kitu cha ajabu sana. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mama yetu na Janet mahali pema peponi~AMEN.
I had only cried for tw people in my Life...first was my mom when she passed away...second was my only one Jannet nimesema my only one maana she was special and she still special for me nitamuenzi kama Jannet wangu na sio kama msichana wangu...these two cries ndo mara nyingi huwa zinajirudia tuuu...Sijawahi onwa na mtu niwazapo kuhusu Jannet(I do it for her) maana Love is inside not outside to show...is a burning inside...Only Jannet has to feel my cries otherwise am wrong..