Barua na salamu zangu kwa Airtel

Barua na salamu zangu kwa Airtel

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Nakumbuka niliamua kwa moyo mmoja kujiunga familia ya AIRTEL miaka mitatu iliyopita. Kwa miaka mitatu iloyopita niliishi kwa furaha san(of cause mi ni mtu wa bando za internet kuliko za kupiga na sms) kidogo wakaanza kupandisha gharama ila nilikua nawaelewa sana so nikaamua kuvimba nao.
Ila leo naaga rasmi familia yenu nawashukuru kwa marafiki mlionipa na hela zangu nlizowapa ila 5000 kwa GB 1 hapo mmeniweza.
Naskia kuna Haloteli ngoja nikaponee huko kama vile nyie mlivoniponya toka kwa Vodacom. Wacha nizidi kua mkimbizi sasa maana hamna namna.......
#nimeamini_muhindi_sio_ndugu_yako

Kwaheri ya kuonana
 
karbu halotel hasa ungepata ya chuo hio ndo hatareee 500 mb 600 kwa wiki hyo 1500 mb 1226 dak 200 hlotel na dk 15 mitandao yote kwa wiki yaaan full muuuviii tuuuu
 
kama una line ya chuo utai enjoy sana kwa halotel......gb 10 kwa buku kumi plus dakika za kutosha!!!
 
karbu halotel hasa ungepata ya chuo hio ndo hatareee 500 mb 600 kwa wiki hyo 1500 mb 1226 dak 200 hlotel na dk 15 mitandao yote kwa wiki yaaan full muuuviii tuuuu
Asante kaka nashukuru yani hapa nimeweka vicha lakinj nimegoma kujiunga wacha nitumie WiFi ya jirani. Kesho sipumziki mpaka nisajili halotel na aka ka airtel nkataftie sim ndogo..
 
kama ni mwanachuo unaenda na ID wanakusajili, mara nyingi wapo vyuoni na sio ofisini kwao!!!

Kuna sehemu kijijini sijawahi pata 3g, ila tokea hawa jamaa waje napata 3g bila shida....halotel bhana teh teh
Asante kaka itabidi niongee na mwanangu mmona anifanyie mchakato aisee
 
pole sana karibu halotel, mi nakula free youtube sahizi
Dah nashukuru kaka muda huu ningekua naangalia muvi ila inanibidi nicheze game ambazo nishachezaga kwa sababu pia siwezi kudownload zingine...
#wahindi hawana huruma
 
Mi nilikuwa tigo now nimebakizwa kwa sababu ya tigo pesa ila haotel wakianzisha huduma za haotel pesa tigo wataisoma namba! Zama za unyonyaji zilisha pitwa na wakati
 
Mimi situmiagi huduma za mtanda kwa io hata ii airtel ntaacha kwa ajili ya marafiki wazamani wakinitafuta niwajulishe nimebadili namba baasi
 
Nakumbuka niliamua kwa moyo mmoja kujiunga familia ya AIRTEL miaka mitatu iliyopita. Kwa miaka mitatu iloyopita niliishi kwa furaha san(of cause mi ni mtu wa bando za internet kuliko za kupiga na sms) kidogo wakaanza kupandisha gharama ila nilikua nawaelewa sana so nikaamua kuvimba nao.
Ila leo naaga rasmi familia yenu nawashukuru kwa marafiki mlionipa na hela zangu nlizowapa ila 5000 kwa GB 1 hapo mmeniweza.
Naskia kuna Haloteli ngoja nikaponee huko kama vile nyie mlivoniponya toka kwa Vodacom. Wacha nizidi kua mkimbizi sasa maana hamna namna.......
#nimeamini_muhindi_sio_ndugu_yako

Kwaheri ya kuonana
Mimi pia kupitia airtel Nilikuwa najiunga buku napata 1GB lakini sasa hivi buku unapewa mb 400, ninampango wA kuitia kapuni hii line ya airtel ngoja na mie nihamie huko huko halotel maana hakuna namna
 
Yani mimi kungekua na ofisi ya halotel iko wazi ningeenda saivi
 
Back
Top Bottom