Barua kwako Eric wa CCM

Msema ukweli : wanafiki kama hawa wanao tudanganya na kutushawishi tupigie kura chama fulani kumbe kwa nyuma wana pewa pesa acha waisomi tu,isome namba Shigongo tena bado
 
Siasa mbaya sana,sasaivi hata magazeti yake cjaoni ofisini kuna mdada alikuwa anayapenda kweli magazeti yake lakini sasaivi kayapotezea,siasa mbaya sana jamani misimamao yetu tuiweke mioyoni tu
 

Mh JPM alitangaza kiama cha mtu yeyote anaye /aliyekuwa anaishi kwa dili kuwa wameishi maisha ya peponi sana ila sasa wataishi maisha magumu sana.
Watu wengi wametesa kwa ujanja ujanja na connections za wizi hao ndo wataanza kuisoma namba haijalishi ni wachama gani
 
Eric, nisipokukuta jehanam siku zikipita duniani, basi tena Mungu nitamshangaa..na nitauliza kwa sauti kuu
 
Kweli aisee
 
Akamuulize Marlow kuipa sapoti ccm unavuna nini, Marlow kapotea kwenye muziki sasa ni zamu ya shigongo kupotea kwenye biashara, acha na wasanii wapumue maana aliwafuatilia mno na magazeti yake ya udaku, kubwa zaidi amesababishia watanzania tuishi kwenye dhiki kubwa, brother karibu kwenye ulimwengu wa MASHETANI, acha ahadi itimie na kwako pia.
 

Nadhani ni kiendacho kwa mganga hakirudi.
 
Reactions: MTK
aewatukanasanakina gwajimaa.. lowassa zamuyake kuliamachoziyadamu
 

Attachments

  • FB_IMG_1479885972603.jpg
    40.5 KB · Views: 32
kiukweli CCM inajitahidi kumtetea jamaa na kkujitetea lakin itakuja kushindwa maana kila siku matukio.
 
tumeipenda wenye ndende watajijua wenyewe ndende wacha tuisome namba eeeh CCM mbele kwa mbele..wavimbe wapasuke eeeh CCM mbele kwa mbele...kawimbo katamu jaman.
 
Jaman, pole Erick, maisha ni kamba ndefu ya katani iliyofungwa mafundo, madogo na makubwa. Hadi kuyamaliza yahitaji moyo. Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…