Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Msema ukweli : wanafiki kama hawa wanao tudanganya na kutushawishi tupigie kura chama fulani kumbe kwa nyuma wana pewa pesa acha waisomi tu,isome namba Shigongo tena bado
Nikiwa na mamaa kwenye hotel sijui yake au ya mke wake chumba kilikuwa hamsini na tano elfu, pale mkabala na ambiance Africa sana, ki ukweli kufirisika mjanja mjanja kama huyu wa kisukuma ni ngumu isipokuwa anatafuta huruma na kick, na kumbuka kwa wafanyabiashara hela yao yoyote kuwa nje ni pigo kubwa sana wataidai mpaka mwisho
Kweli aiseeMh JPM alitangaza kiama cha mtu yeyote anaye /aliyekuwa anaishi kwa dili kuwa wameishi maisha ya peponi sana ila sasa wataishi maisha magumu sana.
Watu wengi wametesa kwa ujanja ujanja na connections za wizi hao ndo wataanza kuisoma namba haijalishi ni wachama gani
Mfanyabiashara kufilisika ni kama timu ya mpira kufungwa goli; One mistake one goal! Investment kubwa moja mbaya ndio kwaheri! Zikafuata kodi, mikopo, kushtakiwa, kuhonga kufunika mambo, nk nk tayari uko nje ya game; na hicho kinaweza kumtengua Erick, good riddance Erick, kiendacho hurudi!
aewatukanasanakina gwajimaa.. lowassa zamuyake kuliamachoziyadamupole sana brother Eric wa mahadith na udaku ila ndio maisha.....
baada ya kukupa pole naomba nikukumbushe yafuatayo kisha ujue kuwa unayopitia ni haki yako kupitia maana adhabu za mnafiki huanzia dunian na nahsi zimeanza na ww unasitahili adhab hiyo ya mali zako kupigwa mnada na mengineyo,pitia haya
1.kwa kupitia magezeti yako umewapa machungu wengi sana,umehalibia watu sifa zao mtaani,umevunja ndoa nyingi,umevuluga mahusiano kibao,unaikumbuka ofm fichua maovu ambayo walokuwa wamepumzika tuu bar mliwapa dhambi ya udhinifu wakat si kwel!!UNAYOPITIA NI MADOGO KULIKO ULIYOWAPA WENZAKO
2.kwa magazeti yako ya udaku ulikipa chama nafasi kubwa sana na ukagandamiza upande wa pili leo umetendwa unakuja upande wa pili wakusaidie kuwasumbua uliowabeba!SIASA HAINA RAFIKI WA KUDUMU
3.Brother hadithi zako baadhi huwa unahusi watu kuwa wavumilivu na kutunza siri,sasa kama ww ni kijana wa chama imekuaje uje kukianika chama hapa?ww ni mnafiki na hata maji uliyopewa na muweka hadhina hukupaswa kupewa na ndio maana Comrade Abdulrahman hapokei simu zako maana comrades huwa hawapendi unafiki
4.kwa magazeti yako ya udaku ulishabikia san kulush hbr za wenzako pale dhamana zao zilipotakiwa kuuzwa mfano kipindi mali za mh wa ma song ya ccm zilipotakiwa kupigwa mnada!sasa yamekufika na ww unalia so ulidhan wale ulowafedhehesha wana mioyo ya chuma!brother hayo ni malipizi yako
5.kwa semina zako unahusia watu kutokata tamaa mapema sasa mbn ww inaonyesha umekata tamaa mapema afu jumla yani hadi inafikia unalia mbele ya wafanyakaz na mkeo?kwel mganga hajigangi!
6.unakumbuka magazeti yako yalivyotumika 2007 juu ya marehem ammy chfupa?,malipo dunian
USHAURI:kwakuwa umesema kuwa wanakutambua kama mtoto wa pale bhas jiludi na akaombe msamaha maana wakiamua kukuadhib kama mtoto wao sijui utaangukia wapi maana si unakumbuka yule mwenzako ambaye hadi vikao vya chama tulikuwaga tunamuona ila alipozuia zile waya za umeme kupita kanisani kwake pale sam nujoma amepotea mazma na falme ya upako wamechukua akina mzee wa upako na gwajiima nk
NB:Yanayokukuta iwe fundisho kwa wengine kuwa hii dunia kila ufanyalo malipo hapahapa duniani.
KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA KUSOMA NAMBA BROTHER.