Iringa Native
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 961
- 3,057
...



kule kwetu kuna msemo unasema "embwa ke'etakaile mkila teluga omu maiga" yaaan mbwa kama hajaungua mkia hawezi toka kwenye mfiga, msimu wa baridi mbwa wanapenda kukaa karibu na mafiga vijijin. Sasa naona mkia wa jamaaa unaungua taratiiiii...........buupole sana brother Eric wa mahadith na udaku ila ndio maisha.....
baada ya kukupa pole naomba nikukumbushe yafuatayo kisha ujue kuwa unayopitia ni haki yako kupitia maana adhabu za mnafiki huanzia dunian na nahsi zimeanza na ww unasitahili adhab hiyo ya mali zako kupigwa mnada na mengineyo,pitia haya
1.kwa kupitia magezeti yako umewapa machungu wengi sana,umehalibia watu sifa zao mtaani,umevunja ndoa nyingi,umevuluga mahusiano kibao!!UNAYOPITIA NI MADOGO KULIKO ULIYOWAPA WENZAKO
2.kwa magazeti yako ya udaku ulikipa chama nafasi kubwa sana na ukagandamiza upande wa pili leo umetendwa unakuja upande wa pili wakusaidie kuwasumbua uliowabeba!SIASA HAINA RAFIKI WA KUDUMU
3.Brother hadithi zako baadhi huwa unahusi watu kuwa wavumilivu na kutunza siri,sasa kama ww ni kijana wa chama imekuaje uje kukianika chama hapa?ww ni mnafiki na hata maji uliyopewa na muweka hadhina hukupaswa kupewa
4.kwa magazeti yako ya udaku ulishabikia san kulush hbr za wenzako pale dhamana zao zilipotakiwa kuuzwa mfano kipindi mali za mh wa ma song ya ccm zilipotakiwa kupigwa mnada!sasa yamekufika na ww unalia so ulidhan wale ulowafedhehesha wana mioyo ya chuma!brother hayo ni malipizi yako
5.kwa semina zako unahusia watu kutokata tamaa mapema sasa mbn ww inaonyesha umekata tamaa mapema afu jumla yani hadi inafikia unalia mbele ya wafanyakaz na mkeo?kwel mganga hajigangi!
6.unakumbuka magazeti yako yalivyotumika 2007 juu ya marehem ammy chfupa?,malipo dunian
NB:Yanayokukuta iwe fundisho kwa wengine kuwa hii dunia kila ufanyalo malipo hapahapa duniani.
KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA KUSOMA NAMBA BROTHER.
Shigongo hajmaliza hadithi yake hasa inayohusu yeye na ccm so sidhan kama ni vyema kumnanga juu ya hilo..
Ila nilichojifunza kwake ni kutokuiamn taasisi yoyote ile ya kisiasa na kujichanganyamo ... u better be a farmer than being a politician tena a backdoor politician .. no nooooo
Ingawa TIME WILL TELL
Nikiwa na mamaa kwenye hotel sijui yake au ya mke wake chumba kilikuwa hamsini na tano elfu, pale mkabala na ambiance Africa sana, ki ukweli kufirisika mjanja mjanja kama huyu wa kisukuma ni ngumu isipokuwa anatafuta huruma na kick, na kumbuka kwa wafanyabiashara hela yao yoyote kuwa nje ni pigo kubwa sana wataidai mpaka mwisho
- Eric Shigongo, kiendacho hurudi! The chickens have come home to roost, ulitamba sana kwa pesa za kutungua wewe na mashenanigans wenzio wa ccm, sasa ni wazi wameishiwa na pesa za kutungua hakunaga tena, wacha uionje shubiri ya sera, utamaduni na itikadi ya ccm, wamekutosa, ushauri wa bure, kufa na tai shingoni, ukiendelea na mkakati wako wa kuwaumbua, rejea karipio la Kinana, utaumia!! Kodi za kila aina, uhakiki wa vyeti vya waandishi wako makanjanja, mikopo, visasi vya uliowaathiri kwa vijarida vyako uchwara; yote hayo yatakushukia kama kipanga, Erick hustahili huruma ya mtu yeyote, ulitesa sana sasa ni saa ya malipo, lia kimyakimya.
Alifanya kampen mwaka jana hajapewa hela zake na ccm,na ana mikopo bank anaogopa kupigwa minada mali zake,kiufupii anaisoma namba.Kafanya nin tena shigongo![]()