Barua kwa mwl j.k nyerere.

Barua kwa mwl j.k nyerere.

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Naomba unifikishie barua hii kwa nyerere,Tangu uondoke hali hapa tz imebadilika sana ckuhzi,mlima kilimanjaro na tanzanite viko kenya,ziwa nyassa liko malawi,tanesco ni ya lowassa,shekh pondo ni I.G.P japo ajachaguliwa na raisi na pia rais wetu sikuhzi anaishi airport pia historia ya nchi imebadilika kua tanzania imetokana na visiwa vya pemba na zimbabwe.nasikia kua eti hata kaburi lako halipo tanzania mwalimu!!
Regards.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom